BAHIMA Empire na uchaguzi butu 2020

BAHIMA Empire na uchaguzi butu 2020

Sifa kuu ya kabila ni kuwa na Lugha yake.. Naomba unitajie Lugha ya hilo kabila lako la "Hutu"


Ukifanikiwa kunitajia Hutu Language Niwekee namba yako ya simu nikutumie laki 9
Kuongea lugha moja hakufanyi watu kuwa kabila moja, mamilioni ya watu wanaongea kiingeleza lakini sio kabila wala taifa moja, watanzania wote tunaongea kiswahili lakini sio kabila moja.

Kinyarwanda na Kirundi na kiha(kigoma) ni lugha moja, kwa hiyo ni kabila moja. Acha ubwe..
 
#Future-Post
Rwanda yaendesha kura ya maoni kutafuta ridhaa ya wananchi ili iungane na Tanzania kuwa nchi moja chini ya Kagame..!!
 
Swala la hao mapandikizi wapo kila mahali, hukusikia Jeshini kuna Mnyarwanda alikimbia alikuwa kitengo cha IT
Huyu sijui aliishia wapi

La pili wakati wa mvutano wa Jakaya na Kagame, Kagame aliuambia Ulimwengu kwamba "atamtandika Jk na asijue amepigwa na nini "
Kauli hii ilitosha kabisa sisi kama nchi tuchukue tahadhari na pia sio tahadhari tu hatua madhubuti kabisa
Kauli hiyo maana yake ni kwamba Kagame ana uwezo wa ku penetrate security barriers na kuingia Ikulu yetu kumfanya chochote rais wetu
Maana yake ni moja tu ana watu wake kwenye system yetu na tupo uchi kwake
Sijui wahusika walichukua hatua gani maana mambo haya hayawekwi kwenye public domain ni classified
Pamoja na ombwe la uongozi tulio nao bado naamini Tanzania yetu ina watu makini ambao hawata ruhusu hayo ya Bahima empire kunawiri ila nina mashaka makubwa sana kwa sababu wazalendo wa nchi hii tunaaminishwa ndio wasaliti na wakiongea wazee wana washwashwa sijui tunaelekea wapi

Mungu ibariki Tanzania

Kagame hana uwezo wa kuligusa taifa la Tanzania, AKAMUULIZE IDD AMINI KABURINI, KAKITOGOJI CHA UMANGUNGUNI,
TUNAWASAMBARATISHA SIKU MOJA NA KUWATAWALA MILELE. KUMBUKA KIKWETE ALIPELEKA KONGO JESHI KADHAA KUWASAMBARATISHA M23, mbona alikaa kimya?
 
mtu wa kanda ya ziwa esp maeneo ya bukoba na watu wa kigoma ndie atakaenielewa mipaka iliwekwa na wakoloni tuu undugu wa damu haufi ndio kinachotokea sasa bongo na sizonje...hata nyerere alkuwa wa huko au hujui?twaha khalfan ulimwengu aka jenerali ulimwengu na yy pia ni mtusi ila kazaliwa tanganyika cjui unaona?? ...issue siyo asili ni jee una uzalendo na kulipenda taifa lako???mkianza huu ubaguzi sisi wa mipakani hatutopona wamasai wapo kenya na tz au huoni mshana?

Mipaka ya wakoloni ilitenganisha baadhi ya makabila sio yote mfano ni wajaluo, walitenganishwa kukawa na wajaluo wa Tanzania na wajaluo wa Kenya, kwa wahaya kukawa na wahaya wa Tanzania na wahaya wa Uganda. Utetezi wa mipaka ya wakoloni unayahusu baadhi ya makabila na yanajulikana.
 
Kuongea lugha moja hakufanyi watu kuwa kabila moja, mamilioni ya watu wanaongea kiingeleza lakini sio kabila wala taifa moja, watanzania wote tunaongea kiswahili lakini sio kabila moja.

Kinyarwanda na Kirundi na kiha(kigoma) ni lugha moja, kwa hiyo ni kabila moja. Acha ubwe..[/QUOTE]

Aiseeeh hii nchi ina vilaza sijapata kuona.. Hivi hizi elimu zinatusaidia kweli ???!!!!


Hivi unaelewa maana ya kabila ???? Na unaelewa maana ya lugha ya kabila ???? Iweje ulinganishe na utolee mfano kiswahili na kiingereza lugha ambazo si za kikabila!!!!..


Hii nchi inahitaji mapinduzi makubwa ya kielimu kuna watu bado wanaishi maisha ya kijima na fikra za kijinga. Vichwa bado vimezaa upumbavu ....

Hivi unaelewa maana
Interlacustrine Region???? Kwa taarifa yako kwenye regionalism level WATU MNAOZUNGUMZA LUGHA MOJA nyie KABILA moja.


Pia In National Level watu mnaozungumza Lugha moja nyie Ni kabila moja.
 
Taja ndugu wa m7 kama huu siyo uchochezi.
Yaani, ni kama residue/machicha ya mbege japo yanaweza lewesha ila hayana maana! Don't take anything kirahisi kuna watu tunajua mambo makubwa ambayo ata rais wenda hajui..! Some of us we are blessed and awasome people born to sarve and save others only.

Six sense people rarely in the society..!
 
Watu wa aina hiyo hawakosekani hata wasomali wa Somalia tunaokibao ndani ya chama twawala ndiyo usiseme mpaka katibu mkuu wetu ni wa kulekule.
 
Watu wa aina hiyo hawakosekani hata wasomali wa Somalia tunaokibao ndani ya chama twawala ndiyo usiseme mpaka katibu mkuu wetu ni wa kulekule.


Duuuuuuh,
Wachane kabisa yaani, wa- mention kwa majina
 
Bahima empire inafikirisha sana juu ya ustawi wao east Africa
 
mimi naomba nitoe ushauri na maoni yangu kwa vyama vya upinzani kuelekea uchaguzi wa 2020, waanze kuweka nguvu zao zote katika katiba na mfumo wa vyama vingi urekebishwe kwa sheria zilizo wazi na kamilifu, na iwapo kama katiba haitarekebishwa kuondoa mfumo wa tume ya uchaguzi uliopo sasa basi ni heri kujitoa katika uchaguzi mkuu,

haina maana yeyote kushiriki na kupotezea watu muda, ni bora kuweka wazi kabisa kuwa hatuwezi kushiriki uchaguzi mkuu unaoendeshwa na tume ambayo mwenyekiti wake anachaguliwa na mwenyekiti wa ccm na sheria ambazo hazina mfumo wa serikali ya mpito ya kubadilshana madaraka ya serikali iwapo upinzani utashinda uchaguzi, wapinzani walione hili sasa hivi tusije kuanza kuzungumzia haya mambo miezi miwili kabla ya uchaguzi.
Kuliko uzushi wa aina yoyote unaoendelea hilo la katiba ni jambo ambalo hawaoni kabisa kama ni tatizo.

Siamini katika siasa za kuzusha za Bahima Empire....mwenye evidence?sio maneno maneno, alete hapa
 
OK niite vyovyote lakini ukweli utabaki kuwa ukweli, sikio ni sikio tu kamwe haliwezi kuzidi kichwa, ukiona mkubwa anajifunza kwa mdogo ujue huyo ni mkubwa kiumri lakini sio kifikra
Duh, very poor argument from you bro, unajiconsole kwa kuweka sikio na kichwa, na unajua kabisa haviendani na hii mada. Ni mrengo wa chama tu ndio unakutoa ufaham namna hii. Basi sawa.
 
Back
Top Bottom