MNAANZA ubaguzi sasa, kama mnaanza hivyo basi li Tanganyika ligawanywe tena kila watu wenye asili yao wakaoe kwao. Kigoma na Ngara ziende Burundi, karangwe iende Rwanda, Kiziba au Mtukula iende Uganda, Wachaga wote waende Kenya pamoja na Musoma na Arusha, wale wa kwaona na Dk Slaa waende IRAKI, alafu, Ruvuma Mtwara waende Msumbiji, Sonea waende tu malawi, na Mbeya waunge tu Zambia, hapo watabaki wagogo, wazigua wakienda somalia, na zanzibar wakenda shelisheli. Mleta mada ufafanusi wako sio mzuri wacha watutawale tu kama hatuna akili ya kujitawala. Mpango wao haukuanza leo ni wa kihistoria yaani mwaka 1890, Bahima Empire ni jamii ya wafugaji na wakulima, wanaopatikana Uganda, Rwanda, Tanzania, Congo, Burundi, hawa walikuwa watawala walibadilika kufuatana na sehemu. Bukoba waliitwa Wahinda, asili yao hawali samaki, wanawake hawali mbuzi, ni walefu sana, wanajisikia sana, wanadhalau kinoma, familia nyingi zimewaoa hili kutoa mbegu kwa sababu wana akili sana na wasili mno. ndio maana wajanja Wahaya waliwaoa sana, ukienda Muleba Mjini, Mshamba, Kamachumu, Katoro , mbunda na karagwe wapo wengi, wanaitwa walalalo. Ukitaka kuwaondoa utaua vipaji vya watu wa kagera, hawa watu wajanja sana, wamejitwalia Biharamulo, Sengerema, na Chato, ukienda sengerema na chato wanajiita wasukuma, ukienda biaramulo wajajiita wasubi. naishia hapo wana historia kubwa.