NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 10,001
- 21,298
Sawa!kama wamezaliwa tz si wakigombea wanapewa!!?au wanyimwe!!?
😁😁😁😁Hao so ndio wanajifanya wasukuma kumbe ni wanyarwanda naona majimbo ya Tabora, geita, Mwanza, simiyu,shinyanga katavi yametekwa na hao sukuma gang, na enzi za jiwe ajira za hao watu zilifumuka kama uyoga, huyu mama Samia atayalishiwe listi ya hao watu Ili awapige chini watumishi kabla 2025 na wabunge na madiwani 2025 ,huko kwao ccm Sasa hivi
Mungu alifanya tarehe 17 03 2021Kwa mpango wa Mungu tutabaki salama kabisa
Kwenye sakata la TL karibu kila organ ya serikali imetoa tamko (tusizungumzie utofauti wake) kuna vitu si vya kupuuza! Huku kwenye mitandao ya kijamii kuna mengi ya kweli na ya kizushi, ya kusingizia na hata ya kupika, kutunga.....!!!!
Kuna mambo hayako sawa na ni vema mamlaka husika kuyatolea tamko ili kuweka mambo sawa.... Mojawapo ni hili la kuingiliwa na majasusi wa kinyarwanda mpaka kwenye organs muhimu kabisa za nchi.
Ukisoma huko mitandaoni wanasema kuna mabinti wa kinywaranda ni majasusi wabobezi lakini wamepozi kama Masuria, huku kwenye wizara mbalimbali za Serikali si mara ya kwanza kukamatwa raia wa Rwanda wakiwa tayari wana nyadhfa na madaraka makubwa na nyeti kabisa
Kinondoni kumewahi kuripotiwa kukamatwa raia wa Rwanda wanaojifanya ni wafanyabiashara lakini wakiwa na viashiria vingi vya kufanya zaidi ya biashara!
Sasa tunaambiwa kuna viongozi wakubwa wanalindwa na askari wa kinywaranda. Ni habari za kuogofya kama ni kweli na kama ni za kupikwa ZIKANUSHWE MARA MOJA!
Tusitende kwa makengeza, BAHIMA EMPIRE ni dhana kificho inayopata uhai kwa namna ya ajabu kabisa(BAHIMA EMPIRE inasemekana ni mpango wa siri lakini mahsusi na wa muda mrefu sana wa kuifanya Afrika mashariki kuwa chini ya utawala watu wa asili fulani).
Kwa sehemu kubwa kabisa inawezekana ni uzushi na mambo ya kutunga lakini lisemwalo lipo!
Waendesha mpango huo wa BAHIMA inasemekana ni watu wasomi werevu wenye rasilimali za kutosha na ujuzi wa kila aina
Pengine BAHIMA ni mpango tu wa kuficha jambo lingine kubwa lisilojulikana.
Tuna watanzania wenzetu wasomi na watu maarufu wengine wakiwa wanasheria tegemewa wamekatishwa maisha yao lakini tuhuma wakirushiwa kundi BAHIMA lenye asili ya Rwanda.
Kama hili ni kweli sifurahishwi kabisa na kuingiliwa kiasi hiki? Je huko kwenye vyombo vyetu vya ulinzi tuko salama kiasi gani? Je hakuna majasusi huko waliopandikizwa? Bungeni je? Na huko kwingine je?
Uchaguzi mkuu wa Rwanda umepita na kumrudisha Kagame madarakani kwa ushindi wa tsunami asilimia 98 lakini wote tumeshuhudia uchaguzi ule ulikuwa butu, ulikuwa ni uchaguzi kukamilisha ratiba na kukwepa rungu la kimataifa kuhusu demokrasia lakini haukuwa huru wala wa haki.
Roadmap kuelekea 2020 hapa kwetu inaanza kutupa mwanga wa jinsi uchaguzi utakavyokuwa... Kuna kila dalili tunanakili kila kitu kutoka Rwanda! Tunaona wazi upinzani unavyonyongwa kwa styles zilezile za Rwanda, dhumuni ni moja tu kuudhoofisha kabisa ili ikifika 2020 uko hoi kabisa... Kisha uchaguzi ambao Utakuwa na ushindi wa tsunami [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]
Sisi ni taifa kubwa lenye nguvu na watu makini sana, naamini story za BAHIMA empire ni za kufikirika zisizo na chembe ya ukweli! Na hata kama ni kweli basi ziishie huko huko..... Lakini ni mpaka pale itakapothibitika vinginevyo....!!!!
Kijakazi nakujibu post hii tu ili next time ujue nakuchukuliajeHahaha rudia tena kusoma ulichoandika uone ulivyokua muongo, mzushi na mnafiki na Mungu kakuumbua sasa mtaje mwenye Bahima empire, mtaje anayelindwa na askari wa kinyarwanda kama ulivyoandika, vipi Bandari yetu nani kaichukuwa? Na na nani kaigawa?
Uongo ni dhambi, mlimshutumu kwa mambo mengi ya uongo na kutunga sasa hayupo na yote yanafanyika mbele ya nyuso zenu, …
Kijakazi nakujibu post hii tu ili next time ujue nakuchukuliaje
Nimekudharau na kukupuuza kwakuwa umejawa na upuuzi mwingi sana! Na kwangu mimi wapuuzi huwa hawajibiwi
Sent using Jamii Forums mobile app
Umempa za uso mzee wa kilinge atakurogaHahaha asante kwa kunijibu hata hivyo lkn ningekuomba urudie kuisoma tena post yako ya “Bahima Empire” labda kuna mambo utabadilisha au ungeandika kivingine leo hii now that you know better, btw Bandari zetu zimeenda nani ni muwakilishi Bahima empire sasa now that you know better, …
Inategemea na nyakati...!Sawa!kama wamezaliwa tz si wakigombea wanapewa!!?au wanyimwe!!?
MkuuKwenye sakata la TL karibu kila organ ya serikali imetoa tamko (tusizungumzie utofauti wake) kuna vitu si vya kupuuza! Huku kwenye mitandao ya kijamii kuna mengi ya kweli na ya kizushi, ya kusingizia na hata ya kupika, kutunga.....!!!!
Kuna mambo hayako sawa na ni vema mamlaka husika kuyatolea tamko ili kuweka mambo sawa.... Mojawapo ni hili la kuingiliwa na majasusi wa kinyarwanda mpaka kwenye organs muhimu kabisa za nchi.
Ukisoma huko mitandaoni wanasema kuna mabinti wa kinywaranda ni majasusi wabobezi lakini wamepozi kama Masuria, huku kwenye wizara mbalimbali za Serikali si mara ya kwanza kukamatwa raia wa Rwanda wakiwa tayari wana nyadhfa na madaraka makubwa na nyeti kabisa
Kinondoni kumewahi kuripotiwa kukamatwa raia wa Rwanda wanaojifanya ni wafanyabiashara lakini wakiwa na viashiria vingi vya kufanya zaidi ya biashara!
Sasa tunaambiwa kuna viongozi wakubwa wanalindwa na askari wa kinywaranda. Ni habari za kuogofya kama ni kweli na kama ni za kupikwa ZIKANUSHWE MARA MOJA!
Tusitende kwa makengeza, BAHIMA EMPIRE ni dhana kificho inayopata uhai kwa namna ya ajabu kabisa(BAHIMA EMPIRE inasemekana ni mpango wa siri lakini mahsusi na wa muda mrefu sana wa kuifanya Afrika mashariki kuwa chini ya utawala watu wa asili fulani).
Kwa sehemu kubwa kabisa inawezekana ni uzushi na mambo ya kutunga lakini lisemwalo lipo!
Waendesha mpango huo wa BAHIMA inasemekana ni watu wasomi werevu wenye rasilimali za kutosha na ujuzi wa kila aina
Pengine BAHIMA ni mpango tu wa kuficha jambo lingine kubwa lisilojulikana.
Tuna watanzania wenzetu wasomi na watu maarufu wengine wakiwa wanasheria tegemewa wamekatishwa maisha yao lakini tuhuma wakirushiwa kundi BAHIMA lenye asili ya Rwanda.
Kama hili ni kweli sifurahishwi kabisa na kuingiliwa kiasi hiki? Je huko kwenye vyombo vyetu vya ulinzi tuko salama kiasi gani? Je hakuna majasusi huko waliopandikizwa? Bungeni je? Na huko kwingine je?
Uchaguzi mkuu wa Rwanda umepita na kumrudisha Kagame madarakani kwa ushindi wa tsunami asilimia 98 lakini wote tumeshuhudia uchaguzi ule ulikuwa butu, ulikuwa ni uchaguzi kukamilisha ratiba na kukwepa rungu la kimataifa kuhusu demokrasia lakini haukuwa huru wala wa haki.
Roadmap kuelekea 2020 hapa kwetu inaanza kutupa mwanga wa jinsi uchaguzi utakavyokuwa... Kuna kila dalili tunanakili kila kitu kutoka Rwanda! Tunaona wazi upinzani unavyonyongwa kwa styles zilezile za Rwanda, dhumuni ni moja tu kuudhoofisha kabisa ili ikifika 2020 uko hoi kabisa... Kisha uchaguzi ambao Utakuwa na ushindi wa tsunami [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]
Sisi ni taifa kubwa lenye nguvu na watu makini sana, naamini story za BAHIMA empire ni za kufikirika zisizo na chembe ya ukweli! Na hata kama ni kweli basi ziishie huko huko..... Lakini ni mpaka pale itakapothibitika vinginevyo....!!!!
Nadhani hawa watu wanahukumiwa sio kwa namna walivo ila kwa stori wanazozisikia kuhusu Kagame ila naona ni watu wa kawaida kabisa kama watu wengine. Wanahukumiwa na kupakazwa ubaya wakati wengine hata Rwanda hawaijui kwa chochote. Nakubaliana na wewe ukienda wilaya za Ngara na Karagwe unawakuta wanaoitwa wanyarwanda ila hawana ni wahangaza na wanyambo na hawaijui Rwanda kwa chochoteMkuu
Hao jamaa ni vigumu sana kuwaepuka kwasababu tulishakubali kuwa ni wakimbizi walioloea na kuwa raia!!
Ni vigumu sana kwenye ukoo wenu wote kukosa damu ya hawa jamaa KWA kujua au kutokujua,wanaishi na sisi KWA mgongo wa makabila mengine kama wasukuma,wakurya,wajaluo,wajita,wahaya,wanyambo na waha!kwahiyo ni ngumu sana kuwaepuka jamaa!!!
KWA sisi wengine ambao wajomba zetu ni wa kanda ya ziwa hasa kagera wilaya zake kama ngara,karagwe huko ni ngumu kukosa hiyo nasaba!!hasa Tabora yote hii wamejificha kama wanyamwezi,wakimbu n.k
Tunao wengi sana mamlaka ikubali tu kuwa ni watz na tuishi nao hivo ivo!!
Pk kaleta hii chuki bure KABISA!!Nadhani hawa watu wanahukumiwa sio kwa namna walivo ila kwa stori wanazozisikia kuhusu Kagame ila naona ni watu wa kawaida kabisa kama watu wengine. Wanahukumiwa na kupakazwa ubaya wakati wengine hata Rwanda hawaijui kwa chochote. Nakubaliana na wewe ukienda wilaya za Ngara na Karagwe unawakuta wanaoitwa wanyarwanda ila hawana ni wahangaza na wanyambo na hawaijui Rwanda kwa chochote
Huwezi kunipatia soft copy Aiseh!!Walaka wa Rev.Mtikila unatanabaisha dhumuni la jumla la bwana PAKA.
Hivyo, si rahisi kufanya kama unavyoimagine wewe mkuu.
Nyakati zimemtupa SASA!Walaka wa Rev.Mtikila unatanabaisha dhumuni la jumla la bwana PAKA.
Hivyo, si rahisi kufanya kama unavyoimagine wewe mkuu.