BAHIMA Empire na uchaguzi butu 2020

BAHIMA Empire na uchaguzi butu 2020

Tuzidi kumuomba Mungu mkuu

Kila 'Ombi' linapaswa kujieleza linataka nini. Watanzania tulivyo Zuzu tunaambiwa niombeeni wala hakuna anaeuliza "tukuombee nini?" Labda huyo anayetaka kuombewa amenuwia kutunyamazisha kama ilivyo sasa!!
 
Sijazungumzia mema au mabaya... Halafu daima mdogo hujifunza kwa mkubwa ukiona kinyume chake jua kuna shida mahali
Daima Mdogo hujifunza kwa Mkubwa? And viceversa kuna shida? Mshana una hekima sana ila ikifika masuala ya siasa na mrengo wako, ni kama hekima na akili zako huyeyuka.
Kwa iyo wewe hakuna kitu unaweza jifunza toka kwa mtu mdogo zaidi yako. Watu tunajifunza vitu kibao toka kwa watoto wetu.

Doh, umenishangaza sana, ndio maana kiongozi mstaafu akawaita Yale majina.
 
Taja wazazi au ndugu ama jamaa wa Nyerere walio hai au walio huko Rwanda la sivyo huu ni uchochezi dhidi ya wachochewa wa mchochezi.
Mpumbavu akiishiwa hoja,atapaka paka mavi kila jani.Huyo mleta hoja hana kitu kichwani
Hivi elimu ya bongo imeshuka kiasi hiki?
Bwana mdogo mleta hoja acha kuendekeza uvivu na ngono,utaondoka wewe.
 
Mshana Jr hii mada yako uliyoichokoza ni nzito na ni diliki kusema ina uhalisia, mi baada ya kusikia jamii ya kitutsi na kihutu ikipiga kelele kwa wakati tofauti tofauti ndipo nilipo fanya utafiti usio rasmi ndio nikajua kuwa kweli kuna BAHIMA EMPIRE. Kwa nchi yetu ni watu na viongozi wachache wanaolijua hilo na kulitilia maanani, niseme ila Marehemu Rev Mtikila alikuwa anajua mchezo wote na nina uhakika hata Mhe Jakaya Kikwete analijua vizuri ila naye alibanwa mbavu. Nimalizie kusema mjadala huu ni mgumu ila ukweli ni huo na mpango huo ndani ya nchi yetu niwa muda mrefu, (Gavana wetu wa BOT Rutihinda alikuwa ni mtu wa aina gani na mwenye asili ya wapi?.)

Daah
 
Hili liko wazi kabisa, tuna mwingiliano mkubwa na mataifa jirani uliotokana na biashara, mapenzi na vita... Na asilimia kubwa wala hawana habari na haya mambo... ILA kuna KEY FIGURES kwenye hii misheni na ndio wanawaweka watu kwenye nafasi mbalimbali kwa malengo
Mshana hii kitu ni kweli angalia pale bandarini kinachoendelea yule mkurugenzi ni 'mhangaza' aliwekwa pale na..... na wahima treatment ikoje sasa
 
Mtoa hoja kuna ukweli fulani japo wenye maslahi tutakupinga werevu wameshabaini!Kuna nguvu kubwa ya kubinya demokrsia kwa kisingizio cha uzalendo na maendeleo huku kukichipuka kauli tata kama baki fulani,mara mswada utapelekwa sijui wapi uchaguzi ufanyike kila baada ya muongo mmoja kasoro!Huku pale Karibu na Kagera kuna nguvu kubwa ya mtu kutawala milele!

daah
 
kama hili ni kweli basi Afrika rwanda imekua kama israel/marekani kwa sasa kiujasusi
 
Tanzania iko chini ya Rwanda tangu enzi za nyerere,
Na bado itaendelea kuwa hivo
Ukweli mchungu sana
Tanzania haijawahi kuwa chini ya Rwanda labda kuanzia 2015. Nyerere aliiweka Rwanda, Uganda, na Burundi chini ya Tanzania. JPM anachopaswa kufahamu ni kuwa kwa kuwa Prezdaa wa Tz, hapaswi kuwa chini Bali anapaswa kuicontral Rwanda na hizo nchi tajwa hapo juu pia. Tatizo huyu wetu amezidiwa na PK kidogo. Ila hawataenda mbali watashindanwa. Buhima ilishashindikana na haitakuja fanikiwa. Tz iz vere complex mor than pipo think. Iven JPM is liiding whyl full of worry dyu to its complexity. Many Rwandan mishen have been proved failure making theya Lida angry. Acha Wajaribu tuone.
 
Kama hiyo ni kweli basi ulipaswa uanzie kwa Nyerere kwani yeye ndiye architect wa yote hata kifo cha Habyarimana wanasema anahusika kumbuka Haby alitunguliwa akitokea Tanzania na hata safari yake ilikuwa na utata kwani hakutaka kuondoka hiyo siku lkn walimshinikiza aindoke, isitoshe Nyerere ni Banyamulenge by blood, pale Musoma walihamia tu kutokea Unyarwanda!

Hivyo kama conspiracy theory yako ina ukweli wowote basi ni mipango ya muda murefu iliyoasisiwa na Nyerere ambaye ana asili ya Unyarwanda!

Nasikia mwenyekiti wa CDM alipewa jina na Nyerere?
 
Hii kitu siyo conspiracy theories? Ingekuwa hivyo Tanzania ingekuwa kwenye himaya hiyo siku nyingi. Najua ukisema Bahima empire unazungumzia Wahima wa Uganda and their cousins :Watutsi etc. Kuna hofu ipi iliyopo sasa hivi ambayo haikuwahi kiwepo? Vipi watu wenye muingiliano na mwonekano hasa kwa jamii za mpakani hawawezi kutengwa kwa sababu hizi?
 
Sijathibitisha chochote ila kama unayoyasema unayaamini kuwa ni ukweli basi ni mpango wa muda mrefu sana na haujaanza leo, Kifo cha Habyarimana TZ yetu inahusika kwa namna moja au nyingine kwa maana Habya alitunguliwa akitokea Dar yeye pmj na Raisi wa Urundi na intelligence walimuonya kwanza kutokwenda TZ kwani walidukuwa Infos za assassination, na huwo ndiyo uliokuwa mwanzo genocide iliyomuingiza Kagame na kupata powers kuna players wengi kuanzia CIA, French intelligence na wengineo, usisahau Museveni ni partner wa Kagame na aliyemuingiza Museveni madarakani ni Nyerere, Museveni alikuwa TZ kabla ya kufanya Mapinduzi UG, hivyo kama ni kweli usemavyo basi ni mpango wa muda mrefu wa tangu Nyerere kwani Nyerere ana asili ya Unyarwanda!
Mkuu Barbarosa, ukienda Ivory Coast kuna kabila la wagogo, hawa wanaoishi Dodoma na kwenye utosi wanazo ndonya.

Ukienda Ethiopia kuna hawa wachagga na wameru, ndio asili yao kabla hawajasogea Tanzania.

Ukianza kutafuta asili, utagundua kuwa hata kizazi chako cha tano hakina haki yoyote na nchi hii.

Mzungu alifanikiwa sana katika utimizaji wa malengo yake, pale alipoweza kutufanya tukaiheshimu michoro ya mipaka iliyowekwa Ujerumani.
 
Daima Mdogo hujifunza kwa Mkubwa? And viceversa kuna shida? Mshana una hekima sana ila ikifika masuala ya siasa na mrengo wako, ni kama hekima na akili zako huyeyuka.
Kwa iyo wewe hakuna kitu unaweza jifunza toka kwa mtu mdogo zaidi yako. Watu tunajifunza vitu kibao toka kwa watoto wetu.

Doh, umenishangaza sana, ndio maana kiongozi mstaafu akawaita Yale majina.
OK niite vyovyote lakini ukweli utabaki kuwa ukweli, sikio ni sikio tu kamwe haliwezi kuzidi kichwa, ukiona mkubwa anajifunza kwa mdogo ujue huyo ni mkubwa kiumri lakini sio kifikra
 
Back
Top Bottom