BAHIMA Empire na uchaguzi butu 2020

BAHIMA Empire na uchaguzi butu 2020

mimi naomba nitoe ushauri na maoni yangu kwa vyama vya upinzani kuelekea uchaguzi wa 2020, waanze kuweka nguvu zao zote katika katiba na mfumo wa vyama vingi urekebishwe kwa sheria zilizo wazi na kamilifu, na iwapo kama katiba haitarekebishwa kuondoa mfumo wa tume ya uchaguzi uliopo sasa basi ni heri kujitoa katika uchaguzi mkuu,

haina maana yeyote kushiriki na kupotezea watu muda, ni bora kuweka wazi kabisa kuwa hatuwezi kushiriki uchaguzi mkuu unaoendeshwa na tume ambayo mwenyekiti wake anachaguliwa na mwenyekiti wa ccm na sheria ambazo hazina mfumo wa serikali ya mpito ya kubadilshana madaraka ya serikali iwapo upinzani utashinda uchaguzi, wapinzani walione hili sasa hivi tusije kuanza kuzungumzia haya mambo miezi miwili kabla ya uchaguzi.
Nani atawakubali katiba ibadilishwe Ili wapigwe chini? Ndio kwanza wameanzisha kampeni ya miaka saba,hao jamaa sijui ni kizazi cha Wapi?

Sent from my A37f using JamiiForums mobile app
 
Sijathibitisha chochote ila kama unayoyasema unayaamini kuwa ni ukweli basi ni mpango wa muda mrefu sana na haujaanza leo, Kifo cha Habyarimana TZ inahusika kwa namna moja au nyingine kwa maana Habya alitunguliwa akitokea Dar yeye pmj na Raisi wa Urundi na intelligence walimuonya kwanza kutokwenda TZ kwani walidukuwa Infos za assacination, na huwo ndiyo uliokuwa mwanzo wa Kagame kupata powers kuna players wengi kuanzia CIA, French intelligence na wengineo, hivyo kama ni kweli usemavyo basi ni mpango wa muda mrefu wa tangu Nyerere kwani Nyerere ana asili ya Unyarwanda!
Kuna picha nimekuja kuweka baadae naiweka tena upate hii picha
2645411.jpg
alafu angalia na hii nyingine ambayo baada ya Nyerere kuondoka, nao walidondoshwa mmoja baada ya mwingine
presentation1-2.jpg

Nyerere was very visionary strategist angalia silka ya HIMA/BAHIMA EMPIRE, kila nchi ina makabila mawili yenye nguvu yanayohitalifiana sana (usisahau Kenya).... Alichokifanya Tanzania ni kwanza kupiga marufuku ukabila na udini, Kete iliyompa mafanikio makubwa
Baada ya kufanikisha hilo, akaanza kuandaa vijana wake kwenye kila nchi lakini kati yao kuna waliokuwa na mipango ya siri na BAHIMA, M7 akiwa mmojawapo
 
rubbish, we are all products of centuries migrations

Sasa nini hoja yako kulingana na nilichoandika?
Hili liko wazi kabisa, tuna mwingiliano mkubwa na mataifa jirani uliotokana na biashara, mapenzi na vita... Na asilimia kubwa wala hawana habari na haya mambo... ILA kuna KEY FIGURES kwenye hii misheni na ndio wanawaweka watu kwenye nafasi mbalimbali kwa malengo
 
Kuna picha nimekuja kuweka baadae naiweka tena upate hii pichaView attachment 594530alafu angalia na hii nyingine ambayo baada ya Nyerere kuondoka, nao walidondoshwa mmoja baada ya mwingine View attachment 594532
Nyerere was very visionary strategist angalia silka ya HIMA/BAHIMA EMPIRE, kila nchi ina makabila mawili yenye nguvu yanayohitalifiana sana (usisahau Kenya).... Alichokifanya Tanzania ni kwanza kupiga marufuku ukabila na udini, Kete iliyompa mafanikio makubwa
Baada ya kufanikisha hilo, akaanza kuandaa vijana wake kwenye kila nchi lakini kati yao kuna waliokuwa na mipango ya siri na BAHIMA, M7 akiwa mmojawapo

Nimeshakwambia kama unataka kwenda huko huwezi kumuondoa Nyerere kwenye hiyo equation.
Kagame, Museveni na Nyerere hiyo triangle huikwepi na wote hawa watatu wana asili ya Unyarwanda, hivyo genocide ya Rwanda Kagame, Museveni na Nyerere wanajuana + Wazungu of course!

Isitoshe kwa kukusaidia tu Rwanda haina Makabila 2 bali ni Kabila moja tu linaloongea Lugha moja ya Kinyarwanda!
 
Nimeshasema kama ni kweli unayoyasema basi siyo mpango wa leo bali ni wa siku nyingi sana!
 
Hili liko wazi kabisa, tuna mwingiliano mkubwa na mataifa jirani uliotokana na biashara, mapenzi na vita... Na asilimia kubwa wala hawana habari na haya mambo... ILA kuna KEY FIGURES kwenye hii misheni na ndio wanawaweka watu kwenye nafasi mbalimbali kwa malengo
Si rahisi kusema kuwa from day ZERO dunia inakuwepo, hawa ndio walikuwa wenyeji wa hapa! Kulikuwa na normadic life all around particularly in Africa. Hivyo kusema fulani ndiye wakuja, ni uongo, sote ni wakuja mpaka hapo dunia ilipo settle kama hivi tulivyo. Na bado, wachaga wana migrate all over Tanzania if not east Africa. Kilichofanyika ni some clans to consolidate their empires. Empires hizo Nyerere aliziua
 
Kuna picha nimekuja kuweka baadae naiweka tena upate hii pichaView attachment 594530alafu angalia na hii nyingine ambayo baada ya Nyerere kuondoka, nao walidondoshwa mmoja baada ya mwingine View attachment 594532
Nyerere was very visionary strategist angalia silka ya HIMA/BAHIMA EMPIRE, kila nchi ina makabila mawili yenye nguvu yanayohitalifiana sana (usisahau Kenya).... Alichokifanya Tanzania ni kwanza kupiga marufuku ukabila na udini, Kete iliyompa mafanikio makubwa
Baada ya kufanikisha hilo, akaanza kuandaa vijana wake kwenye kila nchi lakini kati yao kuna waliokuwa na mipango ya siri na BAHIMA, M7 akiwa mmojawapo

Kingine usichokifahamu labda, Watusi ni Wabantu kwa 100%!
 
Nimeshakwambia kama unataka kwenda huko huwezi kumuondoa Nyerere kwenye hiyo equation.
Kagame, Museveni na Nyerere hiyo triangle huikwepi na wote hawa watatu wana asili ya Unyarwanda, hivyo genocide ya Rwanda Kagame, Museveni na Nyerere wanajuana + Wazungu of course!

Isitoshe kwa kukusaidia tu Rwanda haina Makabila 2 bali ni Kabila moja tu linaloongea Lugha moja ya Kinyarwanda!
Naona una jambo na Nyerere na kama Rwanda ina kabila moja tuu, mauaji ya kimbari yalitokana na nini? Kwahiyo Wahutu sio sehemu ya Rwanda?
 
Sijathibitisha chochote ila kama unayoyasema unayaamini kuwa ni ukweli basi ni mpango wa muda mrefu sana na haujaanza leo, Kifo cha Habyarimana TZ yetu inahusika kwa namna moja au nyingine kwa maana Habya alitunguliwa akitokea Dar yeye pmj na Raisi wa Urundi na intelligence walimuonya kwanza kutokwenda TZ kwani walidukuwa Infos za assacination, na huwo ndiyo uliokuwa mwanzo genocide iliyomuingiza Kagame na kupata powers kuna players wengi kuanzia CIA, French intelligence na wengineo, usisahau Museveni ni partner wa Kagame na aliyemuingiza Museveni madarakani ni Nyerere, Museveni alikuwa TZ kabla ya kufanya Mapinduzi UG, hivyo kama ni kweli usemavyo basi ni mpango wa muda mrefu wa tangu Nyerere kwani Nyerere ana asili ya Unyarwanda!
Unapaswa utambue pia kama sio Tz, Nkurunzinza angetolewa na hao bahima empire.
 
mimi naomba nitoe ushauri na maoni yangu kwa vyama vya upinzani kuelekea uchaguzi wa 2020, waanze kuweka nguvu zao zote katika katiba na mfumo wa vyama vingi urekebishwe kwa sheria zilizo wazi na kamilifu, na iwapo kama katiba haitarekebishwa kuondoa mfumo wa tume ya uchaguzi uliopo sasa basi ni heri kujitoa katika uchaguzi mkuu,

haina maana yeyote kushiriki na kupotezea watu muda, ni bora kuweka wazi kabisa kuwa hatuwezi kushiriki uchaguzi mkuu unaoendeshwa na tume ambayo mwenyekiti wake anachaguliwa na mwenyekiti wa ccm na sheria ambazo hazina mfumo wa serikali ya mpito ya kubadilshana madaraka ya serikali iwapo upinzani utashinda uchaguzi, wapinzani walione hili sasa hivi tusije kuanza kuzungumzia haya mambo miezi miwili kabla ya uchaguzi.
Ukifanya hivyo itakuwa rahisi sana kwao, Fahmi Dovutwa, John Momose Cheyo, Augustine Mrema na Ibrahimu Lipumba watagombea. Watawala watalazimisha uchaguzi, watashinda kwa asilimia za Kagame, jeshi litaingia mitaani na stori itakuwa imeisha. Ndicho wanachokitaka
 
Bungeni wapo kabisa. Na yupo mmoja kwa tiketi ya chama chetu ccm jimbo moja umasaini. Fikiria mnyarwanda umasaini hadi akapata ubunge. Ni kwasababu ni wa chama chetu tu basi......
Serukumbi ....PATEL KUTOKA MIKOA YA LEKADUTIGITEB
 
Hilo ni swala lingine, isitoshe siyo kosa lao, kama nyie mnawaweka JUU kwa nini wao wajishushe? Ni mara ngapi mnapigania hapa JF kwenda kuoa Unyarwanda? Mbona wao hawapiganii kuja kuo kwetu?
Mimi si mmojawapo! Nimeishi Rwanda lakini nimekuja kuoa nyumbani sikutaka kuchanganya damu
 
Back
Top Bottom