Bahari ni kiboko ya usafiri wa wachawi

Bahari ni kiboko ya usafiri wa wachawi

Hizi nshu za uchawi kwamba mnazijua kwakuwa nanyi ni wachawi au stor
 
Umeshindwa kujibu hata swali langu moja tu!! Si umesema watu kama sisi ndio hufanya mada inoge? Au umeshajisahau? Naomba ujibu maswali niliyokuuliza.
Watu kama nyie[emoji23] [emoji23] [emoji23] Kiukweli imebidi nikatafute mada zako nione watu kama nyie mnaandika nini...Mungu wangu nimeishia kucheka tuu na chache nimekuquote
Nina watu wakuwajibu wanaponiuliza kitu lakini sio wewe ...that you should know clearly
Sikudharau lakini you are too low minded kwenye uelewa wa mambo mengi sana...dunia yako iko too shallow na ubongo wako umekuwa hivyo....kwahiyo huwezi ukajifunza kitu tena utabaki na post zako za kujadili watu na matukio zaidi ya hapo ni kaput
Hapa ni jukwaa huru ukiona kuna post ni upuuzi na upotoshaji unaipotezea au unakuja na constructive argument na mjadala unaendelea na kila mtu anaelimika na kufaidika. .. ila ukiendelea na mtindo wako huo wa kuponda na kujifanya much know kwangu utaishia kuumwa kichwa
 
KENZY nilishawahi kulijibu hili siku za nyuma kwenye nyuzi nyingine pengine hukuona
Ni kwamba niliishi kusoma na kupractice mambo ya kiroho kwa miaka isiyopungua 20.
Eeh ikawaje ukaacha. Mm cjuagi unatoaga wapi haya mambo. Cz kama kumshika Mungu lazima uwe umemshika haswaa lasivyo wanakumaliza na hiz topic zao. Au kama kuwa upande wa giza uwe huko kabisa. Unayajuaje yote haya?
 
DIVINE niliishi ulimwengu wa giza na nikafanya mengi (nikisema mengi namaanisha mengi hasa)ila kwa NEEMA NIKAKOMBOLEWA KWA DAMU YA YESU KRISTO! sikufa because I was left to tell

Wengi niliokuwa nao hawapo tena duniani baadhi yao walikufa vifo vya mateso mno waliobaki wanaishi kwenye viapo na maagano vinavyowatesa mno na hawako huru kama mimi
 
DIVINE niliishi ulimwengu wa giza na nikafanya mengi (nikisema mengi namaanisha mengi hasa)ila kwa NEEMA NIKAKOMBOLEWA KWA DAMU YA YESU KRISTO! sikufa because I was left to tell
Ahaaa, nakushauri urekodi dvd ya ushuhuda labda una mengi ya kufunza
 
DIVINE niliishi ulimwengu wa giza na nikafanya mengi (nikisema mengi namaanisha mengi hasa)ila kwa NEEMA NIKAKOMBOLEWA KWA DAMU YA YESU KRISTO! sikufa because I was left to tell
Hapo sawa. Damu Yesu ikufunike zaidi. Kuna cku mm nilisema humu ndani kuna maagent ucku naona sikupata pigo la nyoka akataka kuning'ata bt Damu ya Yesu ilinifanyia kazi. Washindwe ktk jina La Yesu. Mungu akulinde zaid cz sisi ni mboni ya jicho lake. Amen
 
Watu kama nyie[emoji23] [emoji23] [emoji23] Kiukweli imebidi nikatafute mada zako nione watu kama nyie mnaandika nini...Mungu wangu nimeishia kucheka tuu na chache nimekuquote
Nina watu wakuwajibu wanaponiuliza kitu lakini sio wewe ...that you should know clearly
Sikudharau lakini you are too low minded kwenye uelewa wa mambo mengi sana...dunia yako iko too shallow na ubongo wako umekuwa hivyo....kwahiyo huwezi ukajifunza kitu tena utabaki na post zako za kujadili watu na matukio zaidi ya hapo ni kaput
Hapa ni jukwaa huru ukiona kuna post ni upuuzi na upotoshaji unaipotezea au unakuja na constructive argument na mjadala unaendelea na kila mtu anaelimika na kufaidika. .. ila ukiendelea na mtindo wako huo wa kuponda na kujifanya much know kwangu utaishia kuumwa kichwa
Don't perceive someone as having a lower value or worth than what he actually has,do not understimate.
 
Watu kama nyie[emoji23] [emoji23] [emoji23] Kiukweli imebidi nikatafute mada zako nione watu kama nyie mnaandika nini...Mungu wangu nimeishia kucheka tuu na chache nimekuquote
Nina watu wakuwajibu wanaponiuliza kitu lakini sio wewe ...that you should know clearly
Sikudharau lakini you are too low minded kwenye uelewa wa mambo mengi sana...dunia yako iko too shallow na ubongo wako umekuwa hivyo....kwahiyo huwezi ukajifunza kitu tena utabaki na post zako za kujadili watu na matukio zaidi ya hapo ni kaput
Hapa ni jukwaa huru ukiona kuna post ni upuuzi na upotoshaji unaipotezea au unakuja na constructive argument na mjadala unaendelea na kila mtu anaelimika na kufaidika. .. ila ukiendelea na mtindo wako huo wa kuponda na kujifanya much know kwangu utaishia kuumwa kichwa
Wewe hiyo brilliance yako umeipima kwa criteria gani? Umejuaje kama wewe ni brilliant?
 
Nimejilinganisha na wewe
hakuna siku umetema Pumba kama leo!! Nimekupiga viswali kutokana na mada yako wewe mwenyewe lakini vimekuchanganya,badala ya kujibu umetafuta sababu za kukwepa!!

Listen,I am in competition with no one,i run my own race,i have no desire to play the game of being better than anyone,in any way,shape or form,i just aim to improve,to be better than i was before,that's me and i'm free.
 
Hizi pumba tuzitafutie mteja wa kuku basi...! Huwezi kuacha hulka yako hii lakini ukweli utabaki hivyo you ain't any better pal
 
mshana jr namkubaligi hapa tu. Hahaha nahavache.
2a611277f7be807b19f45061870a1ef4.jpg
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji134] [emoji134] [emoji134] wachawi Wapuuzi ona hadi kuku ana hirizi
 
Hizi pumba tuzitafutie mteja wa kuku basi...! Huwezi kuacha hulka yako hii lakini ukweli utabaki hivyo you ain't any better pal
Eti ume quote mada zangu na viswali vya kuanzisha ligi na mimi!! Halafu unatumia multiple id kujisupport!! Pole sana ila sina time ya kulumbana na wewe kwenye post za zamani!! Eti leo ndio Una quote mpaka mada ya Ballon d'Or?!! Aiseeeeeee!!!
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Mkuu samahani kama ntakua naenda nje ya mada. Kuna hii ktu unakuta mtu anaumwa lakini kila akienda hospital anaambiwa hana ugonjwa, au unakuta anaambiwa ana ugonjwa fulani lakini kila akitumia dawa huo ugonjwa haponi au wala hapati nafuu yoyote.
Swali langu je wachawi wanaweza wakakupa ugonjwa ambao ukienda hospital ukaonekana kwamba unaumwa ugonjwa fulani lakini usipone, ila hali wao lengo lao uzubaike hospitalini ili wao waendelee kukutesa..na mwisho hata kukuua.
?
 
Wana uwezo huo lakini ni vema ukajihakikishia kuwa kweli una tatizo lililoshindikana hospital kwakuwa siku hizi mengi ni mazingaombwe tu ya kutesana na si uchawi kamili
 
Back
Top Bottom