mkuu Ariesta ndio nani? Na huyu an historia gani?usijarib hizi ishu, kuingia ni rahisi mno na juhudi binafsi huweza kukupeleka huko bt kutoka huko ni neema tu Mungu. Ila ukiwa kama Ariesta haya
Nakupa poa nyiingi kwa jibu lako zuri #mshana jrAmbaye amefilisika sasa? toka kanda ya ziwa? Haya mambo ni vigumu kuyajua hasa kwakuwa ni siri ya mtu na mojawapo ya viapo au maagano ni kutosimulia chochote. ..watu watabaki tu na speculations kutokana na mienendo yako
Upo juu kaka, huna group la WhatsApp tupate elimu zaidi. Napenda nijifunze mengi aisee #mshana jrKENZY nilishawahi kulijibu hili siku za nyuma kwenye nyuzi nyingine pengine hukuona
Ni kwamba niliishi kusoma na kupractice mambo ya kiroho kwa miaka isiyopungua 20.
Ngoja nipanue ufahamu wako kwa njia ya maswalinifanyie wepesi huu nambie roho ni nini..?
ukinijibu hilo sitakuwa nalakuhoji tena..
point ya ku add.....kwqnza jua kinacho ishi ni Roho, Roho ni pumzi, hii hutoa tafsiri ya kila ktu kuhusu wew tabia, huwezo wako ni kila kitu. Roho ikiwa njr ya mwili, Mwili si kitu kabisa n Katika baadhi ya ulimwengu Roho kama roho haiwezi fanya kitu paka ivae mwili na kuna baadh ya sehemu mwili haufai kitu kitu ni roho kama roho inaweza operate.nifanyie wepesi huu nambie roho ni nini..?
ukinijibu hilo sitakuwa nalakuhoji tena..
nshakupata mkuu unapotaka kuniambia ni kwenye ufahamu i mean vitu vyote hivi gari,simu n.k vimetengenezwa kwa ufahamu/akili tuliyonayo.. gari huwezi kuiunda na kuiendesha bila ya kuwa na akili.Ngoja nipanue ufahamu wako kwa njia ya maswali
1. Ninini kinasababisha mpaka mimi na wewe kwa umbali wetu na bila kufahamiana tuwe ze kuandika haya kwenye simu zetu na kuweza kusomana? Kiunganishi ninini?
2 . ninini kinalifanya gari liende?
Uliondoaje nira, maagano na ushirika navyo?Niko huru sasa na sina nira wala shirika wala viapo na maagano ya haya mambo..ndio maana naweza kuandika kwa uwazi
Hata nawe uliepata ujasiri wa kuifatilia hii mada nawe unaweza kuwa mwanafunzi wa kisirisiri.
Nami pia unitag sitaki kukosa #mshana jrNitakuja na mada kamili juu ya hili na nitakutag
Ni zaidi ya hapo ..ni hivi mwisho wa yote kuna nguvu isiyionekana ndio hufanya mambo yaende kwa mfano wa JF mpaka tunasomana hizi post zetu mengi yamejumuishwa nitataja machachenshakupata mkuu unapotaka kuniambia ni kwenye ufahamu i mean vitu vyote hivi gari,simu n.k vimetengenezwa kwa ufahamu/akili tuliyonayo.. gari huwezi kuiunda na kuiendesha bila ya kuwa na akili.
au nipo long
Hio asili yake ndio tungependa kuijua ni wapi?Kila kitu kina chanzo/uasili kisha huenea kote, shetani yuko popote ila ana asili yake
Nami pia tag pleaseNami pia unitag sitaki kukosa #mshana jr