Bahari ni kiboko ya usafiri wa wachawi

Bahari ni kiboko ya usafiri wa wachawi

Uko ufalme wa giza ndiko aliko shetani nini????...Napenda sana kujua shetani anaishi wapi! na makazi yake yako vipi!
 
Katika kupractice mambo ya kiroho ulishawahi kuihisi roho yako..?
kama ulshawi kuihisi hebu nambie na mm unafanyajefanyaje kuihisi roho..?
Ni ngumu kuzungumzia roho Inategemea ni kwa muktadha gani kwakuwa roho si kitu cha kushika au kuhisi kama unavyojhisi maumivu furaha joto nk
 
Kuwa maji ni robotatu ya mwili na dunia ni fact Tena probable kabisa,ila the rest ni Vitu theoretical mno,huwezi prove Hata wewe napenda sana thread zako ila
tamani you must be kidding....tangu lini uchawi ukawa na ithibati za kisayansi huo sio uchawi sasa, huko ni kwenye dunia ya psychosis na telekinesis
 
Uko ufalme wa giza ndiko aliko shetani nini????...Napenda sana kujua shetani anaishi wapi! na makazi yake yako vipi!
Kila kitu kina chanzo/uasili kisha huenea kote, shetani yuko popote ila ana asili yake
 
Kwani mshana Jr wewe haya masuala unayajulia wapi,ushawahi kuona,kusikia au kushiriki kwa namba yoyote ile?
 
Kwani mshana Jr wewe haya masuala unayajulia wapi,ushawahi kuona,kusikia au kushiriki kwa namba yoyote ile?
Nimejifunza, baadhi nimeyaona na mengine nimeshiriki kwa nia ya kufahamu tuu
 
Ni ngumu kuzungumzia roho Inategemea ni kwa muktadha gani kwakuwa roho si kitu cha kushika au kuhisi kama unavyojhisi maumivu furaha joto nk
kama roho si kitu cha kushika au kuhisi unawezaje kujua kama una roho..?
 
Ndugu Mshana najua unajitolea sana kutuhabarisha hizo info which can't meet the eyes! Na pia najua ni siri wenyewe hawapendi zitoke! Sasa wewe umepata ridhaa? Au inakuaje?
 
Ndugu Mshana najua unajitolea sana kutuhabarisha hizo info which can't meet the eyes! Na pia najua ni siri wenyewe hawapendi zitoke! Sasa wewe umepata ridhaa? Au inakuaje?
Niko huru sasa na sina nira wala shirika wala viapo na maagano ya haya mambo..ndio maana naweza kuandika kwa uwazi
 
Back
Top Bottom