Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 375,677
- 870,404
- Thread starter
- #201
Pyuuu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] multiple ID! naweka dau la laki 5 hapa unionyeshe hiyo multiple ID yanguEti ume quote mada zangu na viswali vya kuanzisha ligi na mimi!! Halafu unatumia multiple id kujisupport!! Pole sana ila sina time ya kulumbana na wewe kwenye post za zamani!! Eti leo ndio Una quote mpaka mada ya Ballon d'Or?!! Aiseeeeeee!!!
Kwa taarifa yako sina hicho kitu ni woga wako tuu
Imenibidi nitafute post zako nione unaandika nini kwakuwa umekuwa mpondaji mahiri wa post zangu! Ungenipinga kwa hoja sawa Lakini unaponda na kuniponda. ..nikasema Mh hebu ngoja nione kilichopo kwako my God what I saw hakilingani na status unayojipa kimsingi uko hoi unalazimisha fani