Black Thought
Senior Member
- Feb 25, 2015
- 160
- 406
- Thread starter
- #41
Hiyo hesabu ni kozi sita flatinategegemea na msingi. msingi kwa sass unaenda mpaka kizi 8
Hiyo hesabu ni kozi sita flatinategegemea na msingi. msingi kwa sass unaenda mpaka kizi 8
Mkuu, Dunia hii haina usawa! Wengine hata hiyo 8,000,000/= tunaona ni nyingi sana. Lakini wapo wengine, hizo mil 14 ni za mapambo tu kwenye chumba kimoja!Gharama ni kubwa Sana yaani kwa sisi wabana matumizi hadi kupaua haitakiwi kuzidi mil.8 sasa hiyo yako inaenda hadi mil.14
Nafikili ni vizuri umpe kazi fundi boss. Mimi muda unabana, maana ni mpaka ni ichore hiyo kama ambavyo itatakiwa kujengwamkuu naweza kutumia roof plan alafu ukaniambia bati ngapi zinahitajika?
Watu wanabisha kwenye kunyanyua level ya kupaua kwa 7m
1. Hiyo bati ni migongo mipana gauge 28 nimetumia reference ya bei za sunshare (naamini ndio wengi wanaifaham kwa reference ya mdau humu jf)
2. Yes mbao ni treated
3. Upo sahihi na kwa vyovyote gharama haziwezi kuwa exactly, bali zinaweza kupungua kidogo au kuongezeka kidogo
ishachorwa tayariNafikili ni vizuri umpe kazi fundi boss. Mimi muda unabana, maana ni mpaka ni ichore hiyo kama ambavyo itatakiwa kujengwa
Kwa haraka haraka tu, mchanga wa laki 3 hauwezi jenga hiyo nyumba yote...(at least kwa mkoa kama Dar)
Labda utueleze wingi/ujazo wa mchanga wa laki tatu kwa huko ulipo...
Upo sahihi Chief.Unajua haya mambo yanategemea vitu vingi sana, mfano. Ikiwa kiwanja kipo tambarare (kipo usawa unaolingana) tofali hazitaenda nyingi kwenye msingi.
Tofauti ya kwanza kwenye gharama inaanzia hapo. Mwingine atatumia tofali 2000 kwa msingi pekee huku mwingine akifukia tofali hadi 3000.
Tunakuja kwenye nondo za lenta na mkanda baada ya msingi. Kuna watu wanaweka nondo moja, wengine tatu na wengine nne. Hapo gharama zitatofautiana tu.
Fundi wa ujenzi anakula ngapi hapo kati ya hiyo 7M ili ibaki ya tofali, cement, kokoto, nondo, maji na mbao za kukodi?
Najilipaje kwenye vifaa, kwani mimi ndio nanunua.Mahesabu ya vifaa yako juu sana mfano hizo nondo 70 kwenye nyumba ya chini kama hiyo zinakaa wapi au ndio unajilipa kwenye vifaa
Upo sahihi boss, kuna wengine mchanga wanaupata bure kabisa kwenye viwanja vyao.Kwa haraka haraka tu, mchanga wa laki 3 hauwezi jenga hiyo nyumba yote...(at least kwa mkoa kama Dar)
Labda utueleze wingi/ujazo wa mchanga wa laki tatu kwa huko ulipo...
Huu mtandao wa matajiri, kila mmoja anaingiza zaidi ya milioni mia kwa wiki.Uzuri jf kila moja anajua
Na hamna asiye na nyumba
Mchanganuo huu ni nyumba kubwa kiasi gani/vyumba vingapi?Bado unajiuliza unaanzaje ujenzi?
Unaweza kuanza na ramani kama hii ya vyumba vitatu (master, self, na plain bedroom) kujenga.
KUJENGA BOMA
tofali (jumla) ...... Tsh. 3,100,000
mchanga ......... Tsh. 300,000
saruji ................ Tsh. 1,500,000
kokoto ..................Tsh. 400,000
Nondo ........................... 1,178,000
ringi (stirrups) ............ 150,000
binding .......................... 30,000
misumari ..................... 35,000
mbao (kukodi) .............. 150,000
mbao (kununua) ........... 52,000
maji ........................... 500,000
Ufundi ...............................________
JUMLA ....................... = Tsh. 7,395,000
Note: Gharama ya maji inaweza kubadilika kulingana upatikanaji wake sehemu unayojenga. Na gharama ya nondo inaweza kupungua kulingana na stability ya eneo unalojenga.
KUPAUA
bati ................ Tsh. 2,300,000
kofia ............. 600,000
valley .............. 320,000
misumari ............... 136,000
misumari ya bati ...... 140,000
mbao 2X2 ...........720,000
mbao 2X4.............1,368,000
kench waya .......... 14,000
Ufundi .... _______
JUMLA = Tsh. 5,598,000
Gharama za ufundi zitategemea sehemu unayojenga na fundi uliemtumia.
Note: Ujenzi huu ni wa Viwango vinavyokubalika sio low standards, mfano (mortar) kwa kawaida mfuko mmoja wa saruji unajenga tofali 45 za msingi, lakini unakuta baadhi ya mafundi (wahusika) wanajenga mpaka tofali 60 kwa mfuko n.k
KAMA UTAHITAJI KUJUA GHARAMA ZA UFUNDI Au KUPATA RAMANI KAMILI KULINGANA NA KIWANJA CHAKO NICHEKI WHATSAPP 0717682856
View attachment 1844392
View attachment 1844393
View attachment 1844394
Umetisha mzee so hapo m15 nilismaliza boma ni kuweka grils nahamiaBado unajiuliza unaanzaje ujenzi?

Hatari mzeeGharama ni kubwa Sana yaani kwa sisi wabana matumizi hadi kupaua haitakiwi kuzidi mil.8 sasa hiyo yako inaenda hadi mil.14
Master na self ni kitu kimoja tofauti ni lugha tu.Naomba kujua tafauti ya master na self ??
Shukran mkuu kwa huu mchanganuo mzuriBado unajiuliza unaanzaje ujenzi?
Unaweza kuanza na ramani kama hii ya vyumba vitatu (master, self, na plain bedroom) kujenga.
KUJENGA BOMA
tofali (jumla) ...... Tsh. 3,100,000
mchanga ......... Tsh. 300,000
saruji ................ Tsh. 1,500,000
kokoto ..................Tsh. 400,000
Nondo ........................... 1,178,000
ringi (stirrups) ............ 150,000
binding .......................... 30,000
misumari ..................... 35,000
mbao (kukodi) .............. 150,000
mbao (kununua) ........... 52,000
maji ........................... 500,000
Ufundi ...............................________
JUMLA ....................... = Tsh. 7,395,000
Note: Gharama ya maji inaweza kubadilika kulingana upatikanaji wake sehemu unayojenga. Na gharama ya nondo inaweza kupungua kulingana na stability ya eneo unalojenga.
KUPAUA
bati ................ Tsh. 2,300,000
kofia ............. 600,000
valley .............. 320,000
misumari ............... 136,000
misumari ya bati ...... 140,000
mbao 2X2 ...........720,000
mbao 2X4.............1,368,000
kench waya .......... 14,000
Ufundi .... _______
JUMLA = Tsh. 5,598,000
Gharama za ufundi zitategemea sehemu unayojenga na fundi uliemtumia.
Note: Ujenzi huu ni wa Viwango vinavyokubalika sio low standards, mfano (mortar) kwa kawaida mfuko mmoja wa saruji unajenga tofali 45 za msingi, lakini unakuta baadhi ya mafundi (wahusika) wanajenga mpaka tofali 60 kwa mfuko n.k
KAMA UTAHITAJI KUJUA GHARAMA ZA UFUNDI Au KUPATA RAMANI KAMILI KULINGANA NA KIWANJA CHAKO NICHEKI WHATSAPP 0717682856
View attachment 1844392
View attachment 1844393
View attachment 1844394
je kwa sunshre gej 30 migongo midogo bei ganHapo bati ni migongo mipana gauge 28 (reference price ni ya sunshare)
Mchanganuo wa material upo, nimeweka hivo ili raia wapate picha tu ndio maana nikaweka na layout ya floor plan.
Labour charge boss haitegemei sana idadi ya vyumba bali ukubwa wa jumla wa nyumba. Nyumba mbili tofauti za vyumba vitatu zinaweza kukupa gharama za ufundi zenye tofauti kubwa