airwing
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 306
- 397
Habari, Wana ndugu Leo nilikuwa napitia jukwaa hili, na kusoma baadhi ya thread zinahusiana na Ujenzi Kama niliutaja hapo juu, Ila wadau walipokuwa wanachanganua gharama ni hatari yaani inatisha.
Nikajaribu kufanya mawasiliano na fundi wa kupaua ambaye ni ndugu yangu, ili kufahamu gharama halisi za material kuanzia mbao za ketch, mabati na misumari nilishtushwa na na gharama zake halisi maana gharama za material jumla ni 623,800. Ambapo watu wengine walioanishwa kwa kiwango Cha 2M- 4M.
Kwa mchanganuo huu;
Bati 20 za kawaida ambapo bati moja ya kawaida Ni 16500 = 330,000
Mbao kubwa 25× 6500=162,500
Mbao za ndogo 24× 3200=76,800
Misumari mikubwa 10Kg =30,000
Misumari midogo 7Kg= 24500
Tuachane na kupaua..
Nilikuwa naulizia vyumba vya ukubwa wa 12×12 zinaingia tofali ngap mpaka kwenye renta?
Msingi utabeba tofali ngapi?
Gharama za nondo, kokoto, na cement ya Renta Ni kiasi gani?
Na je, kuchapia au kuscim nyumba nzima ndani na nje kutagharimu mchanga mchanga na cement kiasi gani?
Mimi ni kijana mwenye Ndoto ya kumiliki mjengo manyanyaso yamekuwa mengi kwenye nyumba za watu? Ni hayo tu wakuu???