Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 21,721
- 52,616
- Thread starter
- #41
Hujui chochote kuhusu maandamano ya Kenya. Wasingekuwa wana organise wakina Uhuru na Ruto wasingepelekwa The Hague.
Kuandamana na kuratibu maandamano kipi kigumu?
Maandamano yanahitaji ushawishi ili yafanikiwe. Mbowe hana huo ushawishi.
Uratibu hapo unazungumzia mapinduzi na hakuna jina jingine.