Ad majorem
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 819
- 1,286
Awamu hii, Kama Kuna projects wanazotekeleza ambazo ni nonesense, ni ujenzi wa daraja la Koko beach - Ocean road. Huwa najiuliza faida ya daraja Hilo, sielewi kabisa.
Awamu hii, Kama Kuna projects wanazotekeleza ambazo ni nonesense, ni ujenzi wa daraja la Koko beach - Ocean road. Huwa najiuliza faida ya daraja Hilo, sielewi kabisa.
Awamu hii, Kama Kuna projects wanazotekeleza ambazo ni nonesense, ni ujenzi wa daraja la Koko beach - Ocean road. Huwa najiuliza faida ya daraja Hilo, sielewi kabisa.
Alafi daraja la Jangwani watu wanatesekaa kilaa sikuu...!!I associate myself with you. Mpaka leo sijaelewa mantiki ya hili daraja. Labda ni ule msemo .....mwenye nacho huongezewa.
Mshauri mkuu wa rais wetu ni nani?Awamu hii, Kama Kuna projects wanazotekeleza ambazo ni nonesense, ni ujenzi wa daraja la Koko beach - Ocean road. Huwa najiuliza faida ya daraja Hilo, sielewi kabisa.
Huko kwny ujenzi ndiko wanapigia mapesa ya kutosha.Awamu hii, Kama Kuna projects wanazotekeleza ambazo ni nonesense, ni ujenzi wa daraja la Koko beach - Ocean road. Huwa najiuliza faida ya daraja Hilo, sielewi kabisa.
Uhuru wa mawazo ni mzuri lakini kwa watu wa upande wa mwanza hii ni faida na inaokoa muda sana...kuvuka pale ferry ukikuta dude limetembea unasubiri muda mrefu Sana na like Kuna watu wengi mno na magari...wanalata shida Sana tu sema ndio hivo tunaona shida ya mwenzio soup yako...yaani kwa umuhimu ni bora zaidi kuliko daraja la kigamboni
HOFYOOOO kabisa haya majamaa, yana kaubaguzi bana, nduhu gete mudupandika ikura ukunuILA UMESUBIRI MANTIKI YA KUONA MAMIA YA WATANZANIA WANAOISHI MWANZA NA GEITA WAMEZAMA NA KUTEGETEA NA VIVUKO VYA BUSISI NA KAMANGA NA KIGONGO.
HIVI CHADEMA KITU GANI KIMEWAVURUGA??
Wewe nawe kilaza ,kwani magufuli uwa anavuka kwenda mkoa gani,hilo eneo lote liko mwanza lakini linaunganisha na ni njia rahisi ya kufika mkoa wa geita,kagera,kigoma na nchi jilani.Hili la busisi linaunganisha mkoa gani na mkoa gani?? Usije ukawa unaongea wakati jiografia ya Eneo husika hujui!!
Chadema ni vema kuwa makini na maeneo ambako Lissu amepita, tayari Kanda ya ziwa mmeshajenga uhasama na uwezekano wa kupata kura tayari ni ndoto, huku Lake zone tunajihisi tunabaguliwa eti tu kwa sababu tumeletewa mradi wa daraja la kigongo Busisi. Hamjalalamika kujengwa kwa Ubungo interchange, Mufugale flyover, salendar bridge. Kweli chadema hamna shukrani, mgombea wenu tumemkaribisha Mwanza kwa bashasha, hata kura hatujawapa mmeanza nyodo na matusi. TUKUTANE 28 OCTOBER tutaelewana
Hiyo hela ina uwezo wa kununuwa ferries 1500 mkuu. Now you can get the picture!Kwa hiyo hela ungeweza kununua feri zaidi ya mbili kama zile za kivukoni na kujenga hospitali kubwa kama Muhimbili kule kule Kigongo. Yani haiingii akilini hata kidogo
Billioni 700 ni makusanyo ya kodi kwa mwezi moja tu, Tanzania ni tajiri nchi hii inaweza kutumia kadiri inavyoweza kutokana na jinsi inavyopata mapato yake. So long as that bridge benefits the people of the united Republic of Tanzania, I wouldn't care less. Pesa za mboga tu hizo.Hapa ndipo daraja la Tshs bilioni 700, fedha ambazo hata hazikujadiliwa na bunge zinatumika. Eneo ni Kigongo-Busisi. Kwakweli Bunge la Ndugai litajibu haya mbele za Mungu!...
Hwezi elewa faida la hilo daraja. Kutoka Mwanza-geita -bukoba -uganga-burundi-kigoma- Congo-Rwanda, ni biashara kiasi gani itanufaika nayo. (Embu/ebu) hii lugha ya kasikaziniHapa ndipo daraja la Tshs bilioni 700, fedha ambazo hata hazikujadiliwa na bunge zinatumika. Eneo ni Kigongo-Busisi. Kwakweli Bunge la Ndugai litajibu haya mbele za Mungu!
Ferry au mitumbwi kilaza sanaHiyo hela ina uwezo wa kununuwa ferries 1500 mkuu. Now you can get the picture!