Bado natafuta mantiki ya kujenga hili Daraja la Kigongo - Busisi kwa Tshs. Bilioni 700

Mbowe anakula hela za ruzuku za Chadema.
CCM inajenga mpaka ofisi za chama za kata na mitaa.View attachment 1570730View attachment 1570732
Ccm haina uwezo wa kujenga ofisi. Hizo ni pesa na miradi ya umma ambayo ipo kwa kivuli cha CCM. Zote hizo zinatakiwa kureheshwa serikalini.

Hakuna mahali ambako chadema hawana ofisi.

Alafu we mbwa mbona huzungumzii mapacha wako km CUF, NCCR udp wao wanashare ofisi zenu?
 
So ndio kusema tukimchagua Lissu hamtajenga hilo daraja,at least watu wake Mwanza na kanda ya ziwa mjionee,maendeleo yakiletwa huko yanapingwa!
Ni nini inakuja akilini baada ya kusoma hii thread,kazi kwenu.

..hakuna anayesema kwamba maendeleo yasipelekwe kanda ya ziwa.

..hoja hapa ni hizo billioni 700 zitumike ktk mradi mmoja wa daraja, au zitumike ktk miradi mingi zaidi ya maendeleo.

..kwa maoni yangu, serikali itafute MBIA ktk ujenzi wa daraja ili iweze kutumia fedha zitakazobaki kutatua shida na changamoto nyingine za wananchi wa Geita, Mwanza, na kanda ya ziwa.
 
Mnataka Mbia ila mkiambiwa mlipe toll charges km pale kigamboni mnanung'unika au mnadhani huyo mbia ata recover vp pesa yake?

Watanzania bana kila kitu maneno. Ukifanya maneno. Usipofanya meneno, ukifanya the way they want maneno.
 
Mnataka Mbia ila mkiambiwa mlipe toll charges km pale kigamboni mnanung'unika au mnadhani huyo mbia ata recover vp pesa yake?
Watanzania bana kila kitu maneno, ukifanya maneno...usipofanya meneno..ukifanya the way they want maneno.

..kwani huko pantoni wanalipia au ni bure?

..kama hizo pantoni ni bure then upo uwezekano wa wananchi kulalamikia tozo za kutumia daraja.
 
Kigamboni Panton si walikua wanalipia na bado wanalipia, daraja limejengwa then wakaanza kunalalamikia tozo za darajani, kifupi Binadamu hajawahi kuridhika.
 
Kigamboni Panton si walikua wanalipia na bado wanalipia, daraja limejengwa then wakaanza kunalalamikia tozo za darajani...kifupi Binadamu hajawahi kuridhika...

..kunatakiwa kuwe na njia / barabara ya bure.

..halafu kunatakiwa kuwe na njia ya kulipia ambayo ni ya daraja la juu kuliko ile ya bure.

..kwa mfano, daraja la coco beach Dsm wanaweza kulifanya liwe la kulipia, kwasababu kuna njia ya bure ya kupitia daraja la salender.
 
Kwa mfano wako huu pale busisi au kigamboni njia ya bure ni ipi? Ili daraja liwe la kulipia.
 
Vipi kivuko cha kisorya-ngoma, na chenyewe tupeleke bilioni 700 kujenga daraja, maana napo ni kero kusubiri pantoni na mradi uanze mara moja...haya twende kazi maana hii nchi ina hela nyingi.
 
Kwa mfano wako huu pale busisi au kigamboni njia ya bure ni ipi? Ili daraja liwe la kulipia.

..unaweza ku-charge magari ya kibiashara, na malori ya mizigo.

..magari madogo ya binafsi, na ambulance, unaacha wapite bure.

..tusifunge akili na mawazo yetu kwamba haiwezekani.

NB:

..700 billion zinaweza kutatua shida nyingi sana za wananchi wa Geita, Mwanza, na kanda ya ziwa.
 
..hakuna anayesema kwamba maendeleo yasipelekwe kanda ya ziwa.

..hoja hapa ni hizo billioni 700 zitumike ktk mradi mmoja wa daraja, au zitumike ktk miradi mingi zaidi ya maendeleo.

..kwa maoni yangu, serikali itafute MBIA ktk ujenzi wa daraja ili iweze kutumia fedha zitakazobaki kutatua shida na changamoto nyingine za wananchi wa Geita, Mwanza, na kanda ya ziwa.
Tushawajua,am sure mtataka maendeleo yawe kaskazini tu,hata kusini wataskizia maendeleo kaskazini tu.
Hilo daraja kanda ya ziwa linawauma sana.
Tunawazoom tu na ubaguzi wenu.
 
Ubongo wako ushughulishe kidogo hivi wewe na akili zako hujui humuimu wa daraja linalounganisha mkoa mmoja na mkoa mwingine,kwanini lakini chadema mnakuwa nyumbu hivyo ,kabla ya swali lako ungejiuliza umuhimu wa madaraja yafuatayo:nyerere la kigamboni,kikwete la malagarasi,mkapa la rufiji,wami la mto wami na maeneo hayo yote yalikuwa na vivuko kabla ya ujenzi wa madaraja hayo.
Hili la busisi linaunganisha mkoa gani na mkoa gani?? Usije ukawa unaongea wakati jiografia ya Eneo husika hujui!!
 
Tushawajua,am sure mtataka maendeleo yawe kaskazini tu,hata kusini wataskizia maendeleo kaskazini tu.
Hilo daraja kanda ya ziwa linawauma sana.
Tunawazoom tu na ubaguzi wenu.

..Mtanzania una nafasi ya kuishi popote pale nchi hii.

..Hii habari ya kujiona wewe ni wa kanda fulani, na siyo Mtanzania mwenye uhuru wa kuishi popote ktk nchi hii, ni kujifunga kimawazo na kujirudisha nyuma kimaendeleo.
 
Kama wewe si mkazi wa kanda ya ziwa huwezi kuona umuhimu wa hili daraja. Juzi nimepita pale Busisi nilikaa masaa matatu kwa sababu ya foleni kutoka Sengerema kwenda Mwanza.

Naamini hili daraja litakuwa mkombozi wetu especially tunaotumia hii barabara. Litakuwa kiungo muhimu sana kuunganisha mikoa ya pembezoni Kigoma, Kagera, Geita na Mkoa wa Mwanza.

Mwisho wa siku kila mtu ana mawazo/maoni yake kuhusu gharama za huu mradi. Lakini mimi nashauri tujikite kwenye gharama na wala si umuhimu wa hili daraja. Umuhimu wake ni mkubwa sana!
 
..Ni kwasababu maeneo mengine yametelekezwa na hivyo kusababisha watu wengi wakimbilie Mwanza.

..wenye mawazo mbadala wanashauri kwamba maendeleo yasambazwe ktk ukanda mzima wa ziwa badala kuwekeza pesa kubwa kupita kiasi ktk daraja.

..mawazo mbadala pia ni kutafuta wabia ili serikali na walipa kodi wasibebe mzigo wote wa gharama za kujenga daraja.

..binafsi najiuliza, hivi kanda ya ziwa haihitaji, say billioni 350, kwa ajili ya miradi mingine ya maendeleo ukiacha hilo daraja?
 
Hilo daraja lina faida kubwa sana kuliko unavyofikiria maana linaweza hata kutumika kama kivutio cha watalii kumbuka watalii huwa ni kama watoto wanapenda sana kushangaa shangaa
 
..kwa wasafiri uko sahihi 100%.

..kwa watalii hapana.

..kwani daraja mfano la mto rufiji limetuingizia mapato ya utalii kiasi gani?
 
Back
Top Bottom