he he he he dearest:
Bad habits zangu:
Mi naturally napenda utani na uchokozi...sometimes inaniletea shida as wakati mwingine natania wakati mtu yuko serious.
Napenda kufanya kile ninachotaka, kwa wakati ninaotaka na kwa namna ninayotaka....sipendi kusukumwa
Mvivu, kuna wakati sijisikii kufanya chochote,nataka nikae tu...lol
Nazochukia:
mbahili au anayetumia hela ovyo ovyo na kutaka usawa kwenye matumizi...am a woman for God's sake, be a man!
mwenye kuongea sana au ambaye ukikosea hata ukimuomba msamaha,ye analo tu,kelele
mchafu, siwezi kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
asiyependa kushirikiana nami na kunishirikisha kwenye mambo yake ninayopaswa kujua