Mine:
1. Nawezakuwa na upendo wa hali ya juu kwa nimpendae ila nina ugonjwa wa kuchelewa kujibu message zake za simu au kutotimiza nilichompromiss.
2. sometimes siwasiliani nae kwa makusudi ili aendelee kunimiss na kuniwaza.
3. simwambii yeye ni mzuri ili asipeperuke :lol:
4. napenda mwanamke alipe bili kila tunapoenda lunch/dinner,,
Nnazochukia:
1. Nachukia mwanamke anayejikuta mzuri muda wote kumbe hana lolote,,
2. Nachukia mtu anayeombwa msamaha mwezi mzima na bado hasamehi.
3. Nachukia unafki hasa wa kulenga kugombanisha watu,,