Bad habits

So being marshalled around is not your thing,this is natural and understandable. Mimi nikajua ndo wale hata useme:
-'my lady/love/baby can you please bring some water for me on your way from the kitchen?'
Jibu linakuwa:
-'Make use of them long hind limbs of yours'.
Hahahaha. . . . hell no. I'm actually a 'sucker' for NAOMBA and ASANTE. Nikiombwa ntafuata maji jikoni hata kama nilikua sijisikii kuinuka, ila nikiagizwa NAWEZA nikarudi mikono mitupu hata kama nilikuwepo jikoni tayari.
 
Alrighty ma'am..
 
Nachukia mwanamke kuning'ang'aniza nimjibu 'i love u too' mara tu asemapo 'i love u' eti ndo uthibitisho kuwa nampenda wakt anaona matendo yangu yote yanabainisha mapenzi yangu kwake.
 
Nachukia mwanamke kuning'ang'aniza nimjibu 'i love u too' mara tu asemapo 'i love u' eti ndo uthibitisho kuwa nampenda wakt anaona matendo yangu yote yanabainisha mapenzi yangu kwake.
Hahahaha kuna mtu alianzisha thread jana ya kulalamika kwamba haambiwi "I love you". Mi nadhani ni vizuri kumwambia mtu na kumwacha nae akwambie atakapojisikia badala ya kulazimisha "I love you too" matokeo yake unaambiwa by default.
 
Hahaha. . .sijapata bado ndio najikokota.
Hhhmm nimeona kivishwa urembo kama kimelainika hivi. . . sijui ndivyo inavyotakiwa. . . ?

Haswa..lengo kiwe kama cha yule anaeimba kanipa mamaa ....alianza hivyohivyo usijali utamfikia tu na mambo yako yatakua mazuri sana
 
Yaani inaudhi mpaka basi my dear tena anaweza kuongeza na maneno mengine ya kuudhi mno

Sio fresh kabisa.
Ila mtu wa aina hiyo unatakiwa siku moja umkomeshe na "haya tuachane" na ujifanye unamaanisha kama hajanywea na kuanza kulalamika bila mpangilio.
 
Haswa..lengo kiwe kama cha yule anaeimba kanipa mamaa ....alianza hivyohivyo usijali utamfikia tu na mambo yako yatakua mazuri sana
Dah. . . mbona ntaringa.

Haya ngoja niendelee na mazoezi uliyonipa huku nikisubiria mapya toka kwako.
 
Sio fresh kabisa.
Ila mtu wa aina hiyo unatakiwa siku moja umkomeshe na "haya tuachane" na ujifanye unamaanisha kama hajanywea na kuanza kulalamika bila mpangilio.

Hapo vitakuja vilio visivyo na kikomo,ila dawa yake usijifanye kama unaamaanisha inatakiwa umaanishe kwa muda fulani ili ajifunze somo lakini asipojifunza na akiendelea na mchezo wake unapaswa kumaanisha milele.
 
Hehehe ndo hivyo unamkomalia hata wiki. . . isipomwingia akilini basi unajua mnapotezeana muda tu.

And thanks for taking back the " ma'am "... nilijihisi mzee kabisa.
 
Thanks LizzY..yaani umegusa vitu vinavyoudhi sana..

Binafsi nachukia..
  • Nidhamu ya woga... Ni kweli wewe ni bosi wangu lakini wewe unategemea nibebe hadi begi lako.. na kukusadia kufanya home-work za kindergarten za watoto wako.. Damn!
  • Tuko hapa May fair tunabadili leseni..foleni ni ndefu.. wewe unakuja na kitambi chako cha ugonjwa na rushwa..unapita mbele yetu halafu unaongea na Traffic police habari za mpira wa Man united na kuacha fomu zako pale mezani kwake..halafu unaongea na moja za simu zako sita ulizoshika kwa mikogo..halafu unarudi kuchukua fomu zako ambazo ziko tayari na kumwambia traffic police mtaonana baadaye......sisi wengine miguu inauma kwenye foleni.. Damn!
  • Niko kwenye foleni..ili kuvuka ili daraja la JKT.. Traffic Jam ni ya nguvu..lakini wengi tunajitahidi kuwa kwenye foleni.. Wewe unakuja na kagari kako hasa STK au DFP.. unatanua.. huku na kule unajifanya una haraka sana! Kwa nini hukwenda ofisini jana..?
  • Nimepata bahati ya kuchangiwa tiketi kwenda ulaya kuwafariji wafiwa kwani wao makaratasi hayawaruhusu kurudi bongo.. basi wakati narudi nimepita pale aepoti immigration ..nimepita powa... Halafu nikapita Customs .powa. Tatizo natoka mlangoni kuna jamaa wakajifanya sijui ndio usalama wa taifa ..kwani walishika passport na kunipiga maswali mengi.. kama mimi alshabab ...damn!! mbona wazungu wanapita tu!
 
@ Tulizo

Hahahahahaha. . . . japo umetoka nje ya mada kidogo umenifurahisha sana. Bongo bwana hamna cha 'aliyefika mwanzo' ndio ahudumiwe kwanza, ni mwendo wa 'anaefahamika/mwenye nacho' ndo anahudumiwa kwanza.
Mwenye nacho anajiona yeye ni bora zaidi hata kwenye maswala kama hayo.
 
Back
Top Bottom