Babu Seya na Wanae kusota Jela Maisha!

Babu Seya na Wanae kusota Jela Maisha!

Pole yao aisee,,,,,,,,tuwatakie maisha mema huko gerezani.
 
..Tuwaombee waishi maisha mema ya jela maana kulawiti wtt ni kitu mbaya sana mm natamani bunge litunge sheria ya kuuwa kabisa mbakaji.

Lakini iwapo watu hao hawajahusika na mambo wanayodaiwa na kama kuna mtu anawafanyia ubaya huo wa makusudi basi OLE WAKE MTU HUYO
 
Alikosea kukata rufaa wakati huu angesubiri baada ya mwaka 2015, maana mlalamikaji atakuwa ametoka madarakani. Pole sana Babu kwa hayo unayo fanyiwa, ila haki utaipata Mbinguni.
Rufaa ina muda maalum. Ukipita huwezi tena.
 
Yes. Wabongo huwa nawashangaa kweli kweli. Wamekomaa kumshambulia Kapuya wakati wanatetea mbakaji halisi. Labda kwa kuwa watoto wao hawakubakwa!

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Yes. Wabongo huwa nawashangaa kweli kweli. Wamekomaa kumshambulia Kapuya wakati wanatetea mbakaji halisi. Labda kwa kuwa watoto wao hawakubakwa!

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

kapuya mbona hawajamweka ndani? au kidudu chake ni kilaini cha babu seya na wenzie ndo kigumu? kwa maana hiyo huyo kapuya hakusababisha maumiivu kwa huyo binti.
 
Nakuuliza swali dogo hivi binti yako wa miaka 7 akifanywa hautaweza kugundua? na ilikuwaje wazazi wasigundue hadi mambo yalipoingiliwa na watu wengine? na vipi yule mwalimu aliyekuwa akiwapeleka aachiwe huru?

Humu kwenye JF nashindwa kuelewa watu mna agenda za kisiasa au chuki binafsi kwa watu fulani. Nasema hivi kwa sababu inakuwaje wengi sana humu mnaona kwamba Nguza na Mwanae wameonewa hawakubaka wala kulawiti, wakati huo huo wengi mnaamini kwamba Mzee Kapuya kabaka na anastahili kuadhibiwa??!!!

Kwa nini inakuwa hivi?
 
kumbe aliyelawitiwa ni mwanao? vile vitoto walivyovitumia kumfunga seya si vitoto tena, viulizeni kilichotukia!.............SHAME!
Hivi wewe unaweza kuhongwa sh ili kumtoa mwanao akatoe ushahidi kalawitiwa?.......unajua impact yake kwa maisha yake?
Acheni upuuzi bana kuingiza siasa pasipo hitaji siasa
Wale ni mabazazi na mafirauni na wanapata stahiki yao yakwanza hapa hapa duniani
 
Humu kwenye JF nashindwa kuelewa watu mna agenda za kisiasa au chuki binafsi kwa watu fulani. Nasema hivi kwa sababu inakuwaje wengi sana humu mnaona kwamba Nguza na Mwanae wameonewa hawakubaka wala kulawiti, wakati huo huo wengi mnaamini kwamba Mzee Kapuya kabaka na anastahili kuadhibiwa??!!!

Kwa nini inakuwa hivi?

Kwa sababu wanaelewa mchezo mzima.
 
Kubaka na Kuua ipi yenye nguvu zaidi? Maaana kusema ukweli yule binti kesi yake imeyeyuka ghafla na Mama Kanumba naye mmhhh

Mkuu Elli yaani hii kesi ni ya kutungwa...

Binafsi papii tunafahamiana maana nilikua napenda kuangalia mazoezi yao kinondoni..

labda uihusishe na ushirikina,Lakini baba na mwanae ku-share (vitoto) sio demu !!! ni kitu hakiwezekani kulingana na utamaduni wetu..

Kesi za mauaji ni nyingi na zenye ushahidi lakini..Ndio wakubwa..

Dito,Zombe,Chenge..nk

siku nikirudi Tz lazima nimtembelee ....just to satisfy my self ..
 
Last edited by a moderator:
Mheshimiwa Rais Kikwete tunaomba utumie busara zako, wasamehe watu hawa kwa msamaha maalum. Hakika inawezekana walitenda kosa ila wameshaonja adhabu yake. Wasamehe, wahame nchi warudi kwao maisha. Hakika ninafikiri kuwasamehe au angalao wafungwe 30 years ili hata mwanae aweze kutoka baadaye. Oneni huruma sana. Sishabikii ubakaji ila pia tuone huruma, tuwafunge kifungo cha wabakakaji, hata hiyo 30 years inatosha kuwashikisha adabu.

Umeongea la maana Zogwale, hata mimi naungana na wewe. Naamini wengi humu jf kinachowafanya waongee hoja zisizo na mashiko ni kwa sababu wanawaonea huruma hawa mabwana. Kimsingi hata mm nawaonea huruma sana na niungane na wewe kuwatakia msamaha hawa jamaa kwani watakuwa wamejifunza, naamini hivyo. Kilichobaki ni RAIS pekee anayeweza kutia mkono wake wa huruma ili wasamehewe, japo kuna wajinga humu wanampaka matope. Usiwasikilize wapuuzi wasiojua sheria, badala yake ONA HURUMA na MUNGU kesho atakuhurumia wewe pia ktk yale ulomkosea.
 
Mungu ndiye Hakimu wa kweli,kama wanateseka kwa nguvu za mwanadamu ipo siku atawafuta machozi

Sent from my BlackBerry 9700 using Jamii Forums
 
Back
Top Bottom