Babu Seya na Wanae kusota Jela Maisha!

Babu Seya na Wanae kusota Jela Maisha!

Achana na serikali bwana! Hata ule wimbo wa Salima jaribuni kuomba upigiwe kwenye vituo vya Redio kama utapigiwa:frusty:
 
Justice wl rol down lyk water nd righteousness lyk da might stream
 
Hivi ni Mungu gani unaye mpraise wewe katika hili
Angelawitiwa mwanao na hawa mafirauni sidhani kama unge praise the Lord
Think twice

Ndio maana wewe unamshabikia Kapuya kwasababu aliyeambukizwa Ukimwi nae ni mtoto wa adui yako!
 
..Tuwaombee waishi maisha mema ya jela maana kulawiti wtt ni kitu mbaya sana mm natamani bunge litunge sheria ya kuuwa kabisa mbakaji.

Tena waiboreshe ili le profesee Kapuya anyongwe vizuri shetani mkubwa,asionekane kabisa duniani!
 
We don't support people who rape and abuse children na wakiwa katika mikono ya sheria nipo amana regional hospital hapa ilala kwa siku tunapokea kesi za child abuse tatu mpaka tano kwa siku zote zikiwa kubakwa ama sodomize,ni ngumu sana kwa jamii kuelewa hawa jamaa watoke kisa muziki wao
 
Endeleeni kuomba kwani hukumu imetolewa na rufaa imetupwa so watakua kule segerema maisha yao yote

Wewe kila uchafu unaofanywa na JK na familia yake unauwekea ma.kalio juu kuutetea! Sijui u-mburura gani wewe kujipendekeza hivyo!
 
We don't support people who rape and abuse children na wakiwa katika mikono ya sheria nipo amana regional hospital hapa ilala kwa siku tunapokea kesi za child abuse tatu mpaka tano kwa siku zote zikiwa kubakwa ama sodomize,ni ngumu sana kwa jamii kuelewa hawa jamaa watoke kisa muziki wao
Mkuu some people are very very stupid
 
Naamini angekuwa amebakwa na kulawatiwa mwanao au mdogo wako usingenge post uliyopost
Kutwa mnapiga kelele Kapuya kapuya

Nakuuliza swali dogo hivi binti yako wa miaka 7 akifanywa hautaweza kugundua? na ilikuwaje wazazi wasigundue hadi mambo yalipoingiliwa na watu wengine? na vipi yule mwalimu aliyekuwa akiwapeleka aachiwe huru?
 
Naipongeza sana Mahakama kwa kutokushawishika na ushabiki kwa wahalifu ambao wamewafanyia uovu mkubwa sana watoto wetu wa Kitanzania ila kwa sababu za ushabiki watu wanataka waonekane hawana makosa. Hongera sana MAHAKAMA.
Ulikuwepo wakt wanabakwa...au we ndo ulibakwa nao..ukweli wanaujua wenyewe. .upambe nuksi tu.
 
Nakuuliza swali dogo hivi binti yako wa miaka 7 akifanywa hautaweza kugundua? na ilikuwaje wazazi wasigundue hadi mambo yalipoingiliwa na watu wengine? na vipi yule mwalimu aliyekuwa akiwapeleka aachiwe huru?

Mkuu i know you have been brainwashed like many others
Mnaingiza siasa hata pasipo hitaji siasa

Nikuulize na wewe unaweza kulipwa sh ngapi ili umtoe mwanao akatoe ushahidi wa uongo mahakani kuwa amelawitiwa?
Unajua itamuathiri vipi kisaikolojia au jamii itakuchukuliaje kwa maisha yao yote?
Acheni upuuzi bana, binafsi naijuwa vizuri sana kuliko maelezo moja ya familia ambayo mtoto alikuwa ni muhanga wa ubazazi wa hawa mafirauni mnao kaa mkiwatetea humu ndani kwa mambo ya kipuuzi
 
Mahakama ya Rufaa Tanzania imetupilia mbali rufaa ya Mwanamuziki Nguza Viking maarufu Babu Seya na mwanae Johnson Nguza na imewahukumu kuendelea kutumikia kifungo cha maisha kwa makosa ya kubaka na kulawiti RADIO1 STEREO

Justice has prevailed. Jamani tuheshimu utawala wa sheria. Mnaozua ya kuzua acheni. Kila kosa linapaswa kuhukumiwa kwa mujibu wa sheria kama ilivyotokea kwa Babu Seya.
 
iwe funzo kwa wabakaji wengine. Ukishakuwa na watoto wa kiume, unakosa huruma kwa watoto wa kike wa wenzio. Hukumu ya ubakaji watoto wadogo iboreshwa iongezewe kunyongwa pia.

Au kukatwa hiyo naniliu yao!!
 
Back
Top Bottom