Bibi miaka 78 jela miaka 30 kisa bangi kilo 33.25

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,067
Reaction score
7,036
Mahakama ya Wilaya ya Nyamagana Mkoani Mwanza imemhukumu Suzana Marwa, maarufu kama Maswi (78), kifungo cha miaka 30 jela baada ya kumtia hatiani kwa kosa la kukutwa na bangi yenye uzito wa kilogramu 33.25.

Suzana alikamatwa Machi 29, 2026 katika eneo la Bugarika Kaskazini, baada ya Maafisa wa DCEA kufanya upekuzi nyumbani kwake na kukamata bangi iliyokuwa kwenye mifuko miwili na ndoo ya plastiki.

Katika hukumu, Hakimu Mkazi Mwandamizi Clement Tuji alieleza kuwa umri mkubwa wa Suzana ungestahili kuzingatiwa katika kumpunguzia adhabu, lakini Sheria inaweka kifungo cha lazima cha miaka 30.

Mahakama pia iliamuru bangi hiyo iteketezwe na fedha taslimu shilingi 195,000 zilizokamatwa zitaifishwe.

Screenshot 2026-10-12 182601.png
 
nadhani sheria ni msumeno,
ni vizuri ikatekelezwa kama ilivyo ikiwa makosa yamethibitika pasina shaka :1Head:
 
Huyo hakimu hana akili
 
nadhani sheria ni msumeno,
ni vizuri ikatekelezwa kama ilivyo ikiwa makosa yamethibitika pasina shaka :1Head:
Sheria hapa sio msumeno mbona kwa wale mapapa wala rushwa na mafisadi wakubwa msumeno haupiti kule. Hapa wanyonge ndo wanateseka

Unajua huyo bibi ana maisha gani?
Siungi mkono bibi kuuza bangi. Ila umeshabikia kipumbavu sana.
 
hakuna haja ya porojo na upotoshaji kwenye sheria gentleman na itapendeza zaidi :1Head:
 
Bibi wa miaka 70+ unamfunga jela ili akafie huko? Huyu angefungwa kifungo cha nje kufanyafanya usafi kwenye nyumba za maofisa magereza amalizie maisha yake huko. Gereza litakuwa na mfungwa mzee mwenye umri mkubwa, atafanya shughuli gani huko kama si kula na kulala tu? Ataanza kuugua ugua na mwisho atawafia huko gerezani, mpaka aje amalize kifungo atakuwa na umri wa miaka 100-
 
Polisi na hao mahakimu wa Lushoto wana matatizo makubwa sana.

Kesi kama hizi Polisi wanapaswa kuzimaliza wenyewe kimtaa na kumpa onyo Bibi kama huyu aache kujishughurisha na hizo biashara mnamuweka chini ya uangalizi inatosha.

Ndio maana Polisi wakistaafu wengi wanateseka maana wengi hawana akili wachache wapo smart.

Sasa unamfunga Bibi kama huyo ili mfundishe nini na ana tija gani gerezani?

Anayewajuwa ndugu za huyo Bibi waambieni waende ustawi wa jamii hawezi kukaa jela huyo.
 
Duh! Inasikitisha sana, mi nafikiri labda familia yake haikuwa na fedha za kuhonga ili aachiwe, hii nchi imejaa rushwa sana.....duh......hatari sana, gen Z, tuzingatie sheria.
 
Sheria hapa sio msumeno mbona kwa wale mapapa wala rushwa na mafisadi wakubwa msumeno haupiti kule. Hapa wanyonge ndo wanateseka

Unajua huyo bibi ana maisha gani?
Siungi mkono bibi kuuza bangi. Ila umeshabikia kipumbavu sana.
Mkuu unakuwa unapoteza muda na nguvu kujibu hizo takataka za ccm!,Yakikiri tuna sheria mbovu maana yake yatakuwa yanasema yale mabunge mazwazwa yaliyojazana bungeni ni takataka,Hivyo linaona bora tu litetee ujinga kwasababu mule ndani yamejazana yote ni maccm
 
Back
Top Bottom