Babu Seya na Wanae kusota Jela Maisha!

Babu Seya na Wanae kusota Jela Maisha!

Wewe kila uchafu unaofanywa na JK na familia yake unauwekea ma.kalio juu kuutetea! Sijui u-mburura gani wewe.
we kenge wapi nimetetea uchafu wa dhaifu?? kama una ushahd hawakubaka why hukumpelekea marando ili watoke?
 
Ni wazi kila mtu anajua wameonewa lakini... hakuna cha kufanya...


Wenye-Nchi wamekwisha Amua..

Sio kila mtu, ni ww na wenzio wachache-baadhi yetu tunaona amepata alichotahili
 
Haya maisha ya duniani ni ya kupita tu - hakuna atakayeyaishi milele. Kama umeonewa kumbuka watesi wako watahukumiwa hapa hapa duniani.
 
Well done majaji,wale wabakaji naomba iwe fundisho kwenu vjana woote wenye tabia mbovu
 
Mkuu some people are very very stupid
Nashukuru umeliona hilo. Hao wanaosema kaonewa hata nakala ya hukumu zile za mwanzo hawajazisoma na kuona proceedings zilivyoendeshwa mahakani. Wamebaki kuongea wakiwa bar kaonewa kaonewa.

Ukisoma proceedings za hii kesi utakubaliana na mahakama kuwahukumu. Wakili wao nadhali alikua anajaribu jinsi ya kuwapunguzia adhabu na si kwamba hawakufanya.
 
waliwalawiti wanao?acha siasa za mtaroni!yani unaongea ka unauhakika vile

Unataka uhakika upi zaidi ya huo uliothibitishwa na mahakama? Kama unawapenda sana wapelekee sabuni segerea hakuna la ziada unaloweza kufanya, hasira ulizonazo zitzkusababishia presha bure!
 
Nakuuliza swali dogo hivi binti yako wa miaka 7 akifanywa hautaweza kugundua? na ilikuwaje wazazi wasigundue hadi mambo yalipoingiliwa na watu wengine? na vipi yule mwalimu aliyekuwa akiwapeleka aachiwe huru?


Mkuu mahakama huamua shauri mlililopo mbele yake, kwenye shauri hili la babu seya ilikuwa ni ulawiti- huyo mwalimu hana kifanyio ana kifanyiwa unategemea ahukumiwe amelawiti!

Kumbuka sababu zilizofanya Zombe awe huru pamoja na ukweli wote unaojulikana.
 
Waligombania demu wa Sinza... sema tu kipindi hicho kamtindo ka kujiua na risasi kalikuwa hakajaanza , otherwise .....

Mi nazipendaga sana zile nyimbo zake aisee hasa ule wa 'Salima'
 
Bila shaka kuna members wa JF wapo Mahakama ya Rufaa wakifuatilia hukumu hii ambayo Watanzania wengi wanaisubiri kwa hamu kubwa kusikia Babu Seya, Papii Kocha wako huru,


I am +VEly thinking of these men to be FREE. Praise the Lord.

Amen.

--------------

Mke anauma sana!!
 
Mkuu i know you have been brainwashed like many others
Mnaingiza siasa hata pasipo hitaji siasa

Nikuulize na wewe unaweza kulipwa sh ngapi ili umtoe mwanao akatoe ushahidi wa uongo mahakani kuwa amelawitiwa?
Unajua itamuathiri vipi kisaikolojia au jamii itakuchukuliaje kwa maisha yao yote?
Acheni upuuzi bana, binafsi naijuwa vizuri sana kuliko maelezo moja ya familia ambayo mtoto alikuwa ni muhanga wa ubazazi wa hawa mafirauni mnao kaa mkiwatetea humu ndani kwa mambo ya kipuuzi

Nimeuliza ili swali technical hapa chini naomba ulijibu sio kuleta ukali hapa

1. Hivi binti yako wa miaka 7 akifanywa hautaweza kugundua kwa muda mfupi hadi miezi kadhaa ipite?

2.Na kwa nini mgunduzi anakuwa mwingine na sio wewe mzazi uliekaribu na mtoto?
 
Nimeuliza ili swali technical hapa chini naomba ulijibu sio kuleta ukali hapa

1. Hivi binti yako wa miaka 7 akifanywa hautaweza kugundua kwa muda mfupi hadi miezi kadhaa ipite?

2.Na kwa nini mgunduzi anakuwa mwingine na sio wewe mzazi uliekaribu na mtoto?

hawajatolewa aisee.....Nimesikitika sana
 
Back
Top Bottom