Babu Seya na Wanae kusota Jela Maisha!

Babu Seya na Wanae kusota Jela Maisha!

Mkuu nimepitia hizo documents.....Daah ushahidi umewekwa na victims live kabisa....Sijui kwa nini watu hawapendi kusoma?
Watoto 10 waseme Uongo (bila kuchanganyana) mbele ya Mawakili, Mahakama n.k Rehearsal ya aina gani ilihitajika mpaka waweze kukariri??
Watu wanafikiri kundi la watu 10 kubuni uongo na kuutetea mahakamani ni rahisi tu sembuse kwa Watoto??
Watoto wamewatambua watuhumiwa bila Shaka pamoja na kuelezea mazingira ya nyumba/chumba walichokuwa wanafanyiwa ubakaji (ikiwemo kubainisha vitu vilivyopo chumbani kwa usahihi)
Kwa ushahidi uliowekwa Sioni namna akina Babu Seya wangeshinda,hata wangekata rufaa Mara 1000........
KWANZA NIMESHANGAA HUKUMU NYEPESI WALIYOPEWA......

Hizo document ntazsoma wapi nataka niyasome hayo maelezo nisaidieni na mimi.
 
hii kesi kila mtu anasema yake ila kama kweli walionewa kwa nini hata siku moja hawajawahi kusema hadharani ama na wenzao huko jela kuwa sababu ya sisi kuhukumiwa kwa sababu ya fulani....period
Nchi hii hakuna haki mwene nguvu ni mwenye pesa anaweza kukufunga kadiri atakavyo.
 
Hii ina uma sana.kwani nini wasiweke wazi?

kwani nimambo yanayo julikana kabisa kuwa jamaa alikula mzigo wa mkuu.
 
Kwa mtu aliyefuatilia ile kesi na ushahidi uliotolewa ataridhika kuwa hao kina babu seya walifanya uhalifu na uchafu ule bila shaka yoyote tatizo watu wanaaminishwa uvumi. Leo hii mtu anauliza hizo documents ziko wapi azisome wakati kila kitu kiliwekwa hadharani wakati ule kesi ikiendelea. Nadhani hata adhabu waliyopewa ni nyepesi kuliko unyama waliofanya kwa watoto wetu
 
hii kesi kila mtu anasema yake ila kama kweli walionewa kwa nini hata siku moja hawajawahi kusema hadharani ama na wenzao huko jela kuwa sababu ya sisi kuhukumiwa kwa sababu ya fulani....period

Mrangi ulikuwa huko ?
 
hii kesi kila mtu anasema yake ila kama kweli walionewa kwa nini hata siku moja hawajawahi kusema hadharani ama na wenzao huko jela kuwa sababu ya sisi kuhukumiwa kwa sababu ya fulani....period

waanze kuropoka wakati mjomba bado yuko mjengoni ..si atapindisha tena awanyonge kabisa
 
Back
Top Bottom