Ngoniboysinai
JF-Expert Member
- Aug 6, 2013
- 590
- 482
Mahakama imetupilia mbali ombi la rufaa lililoombwa na babu sea na wataendelea nakifungo chao kama kawaida
Mahakama imetupilia mbali ombi la rufaa lililoombwa na babu sea na wataendelea nakifungo chao kama kawaida
Vilio vimetawala mahakamani ni hakika kuwa karata hii nayo imekwama. Inasikitisha sana, nilikuwa hapo mahakamani watu wanasimanzi kubwaBila shaka kuna members wa JF wapo Mahakama ya Rufaa wakifuatilia hukumu hii ambayo Watanzania wengi wanaisubiri kwa hamu kubwa kusikia Babu Seya, Papii Kocha wako huru,
I am +VEly thinking of these men to be FREE. Praise the Lord.
Amen.
Mahakama imetupilia mbali ombi la rufaa lililoombwa na babu sea na wataendelea nakifungo chao kama kawaida
Mahakama imetupilia mbali ombi la rufaa lililoombwa na babu sea na wataendelea nakifungo chao kama kawaida
Maskini wee! tuwaombee tusikate tama.
..Tuwaombee waishi maisha mema ya jela maana kulawiti wtt ni kitu mbaya sana mm natamani bunge litunge sheria ya kuuwa kabisa mbakaji.Maskini wee! tuwaombee tusikate tama.
iwe funzo kwa wabakaji wengine. Ukishakuwa na watoto wa kiume, unakosa huruma kwa watoto wa kike wa wenzio. Hukumu ya ubakaji watoto wadogo iboreshwa iongezewe kunyongwa pia.