qn of sheba
JF-Expert Member
- Sep 13, 2011
- 3,230
- 1,386
Kama mnaona majaji wametenda haki na kuipongeza serikali mbona ya kapuya mko kimya au kwakuwa ni kiongozi hakuna haki sawa chini ya jua sheria ni duniani haki mbinguni.
Wanasheria wasema the review did not meet legal requirements,so the guys wamerudishwa kuendelea kutumikia kifungo cha maisha,hebu Wanasheria mnisaidie nini kinahitajika hawa watu wawe huru?
Bila shaka kuna members wa JF wapo Mahakama ya Rufaa wakifuatilia hukumu hii ambayo Watanzania wengi wanaisubiri kwa hamu kubwa kusikia Babu Seya, Papii Kocha wako huru,
I am +VEly thinking of these men to be FREE. Praise the Lord.
Amen.
AkyaMungu hii nchi imelaaniwa......kwa nini wanatesa watoto wa watu lakin? ol z well, tunaamin watatoka tu
waliwalawiti wanao?acha siasa za mtaroni!yani unaongea ka unauhakika vile..Tuwaombee waishi maisha mema ya jela maana kulawiti wtt ni kitu mbaya sana mm natamani bunge litunge sheria ya kuuwa kabisa mbakaji.
walewaleeWashenzi wakubwa wale acha wapate stahiki yao kwa waliyoyafanya