Babu Seya na Wanae kusota Jela Maisha!

Babu Seya na Wanae kusota Jela Maisha!

Mahakama ya Rufaa Tanzania imetupilia mbali rufaa ya Mwanamuziki Nguza Viking maarufu Babu Seya na mwanae Johnson Nguza na imewahukumu kuendelea kutumikia kifungo cha maisha kwa makosa ya kubaka na kulawiti RADIO1 STEREO
 
Mungu ndiye hakimu wa kweli,
kama walibaka kweli mi naona kifungo hicho ni halali yao kabisa,
kama wanaonewa wakazane na mamombi iko siku watapata haki yao.
 
Kweli siamini kabisa baba na mwanawe wanaweza kufanya ubakaji kwa pamoja. Hiyo wanaweza wanyama tu lakini sio binadamu.

Bana eh ... Vipimo vilionesha walibakwa watoto ...

Nchi inaendeshwa na sheria ...
 
Jitihada zote hizi hajatoka jamani?
Labda kweli wamebaka

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Nimeuliza ili swali technical hapa chini naomba ulijibu sio kuleta ukali hapa

1. Hivi binti yako wa miaka 7 akifanywa hautaweza kugundua kwa muda mfupi hadi miezi kadhaa ipite?

2.Na kwa nini mgunduzi anakuwa mwingine na sio wewe mzazi uliekaribu na mtoto?

Nimeipenda sana signature yako na samahani kama nimeongea kwa ukali
Unadhani jibu la maswali yako linaweza kuondoa FACT kwamba hao mabaazazi waliwalawiti watoto?

Let me tell something my friend, usipumbazwe na vijiswali vya maadvocate mhakamani
In this whole world there's millions of kids who raped everyday without no one knowing
Hujawahi kusikia watu wana confess kuwa wakati wa utoto wao walifanyiwa vitendo kama hivi na walimu wao, majirani nk vimekuwa vikiwaumiza kisaikolijia miaka yote bila wazazi wala waangalizi wao kujua?
Take time fanya kautafiti
 
Kweli siamini kabisa baba na mwanawe wanaweza kufanya ubakaji kwa pamoja. Hiyo wanaweza wanyama tu lakini sio binadamu.

Ndg yangu Ndetirima, inakubidi tu uamini kwani dunia hii ya Manani ina vioja usisikie. Unaweza kuambiwa kitu usiamini ktk akili yako lkn ukija kuoneshwa unaweza kuzimia. Kuna watu wana mambo ya ajabu kaka.

Kwa hili la babu Seya na mwanawe inawezekana ikawa kweli na sidhani kwamba watu wana roho za namna gani waendelee kuwafanyia unyama watu wasio na hatia.
 
Mkuu mahakama huamua shauri mlililopo mbele yake, kwenye shauri hili la babu seya ilikuwa ni ulawiti- huyo mwalimu hana kifanyio ana kifanyiwa unategemea ahukumiwe amelawiti!

Kumbuka sababu zilizofanya Zombe awe huru pamoja na ukweli wote unaojulikana.
Mungu ndiye hakimu wa kweli. Yawezekana kasingiziwa, mwenye ukweli ni yeye mwenyewe na Mungu. Labda anaadhibiwa kwa makosa mengine alifanya na hakuonekana machoni pa wanadamu lakini Mungu alimuona na akaruhusu adhabu waliyopewa. Kama wameonewa, Mungu atawalipa.
 
Alikosea kukata rufaa wakati huu angesubiri baada ya mwaka 2015, maana mlalamikaji atakuwa ametoka madarakani. Pole sana Babu kwa hayo unayo fanyiwa, ila haki utaipata Mbinguni.
 
Naipongeza sana Mahakama kwa kutokushawishika na ushabiki kwa wahalifu ambao wamewafanyia uovu mkubwa sana watoto wetu wa Kitanzania ila kwa sababu za ushabiki watu wanataka waonekane hawana makosa. Hongera sana MAHAKAMA.

malipo ni hapa hapa duniani na naamini utalipwa inshallah kwa maneno yako na jiroho lako baya.
 
Mheshimiwa Rais Kikwete tunaomba utumie busara zako, wasamehe watu hawa kwa msamaha maalum. Hakika inawezekana walitenda kosa ila wameshaonja adhabu yake. Wasamehe, wahame nchi warudi kwao maisha. Hakika ninafikiri kuwasamehe au angalao wafungwe 30 years ili hata mwanae aweze kutoka baadaye. Oneni huruma sana. Sishabikii ubakaji ila pia tuone huruma, tuwafunge kifungo cha wabakakaji, hata hiyo 30 years inatosha kuwashikisha adabu.
 
Kubaka na Kuua ipi yenye nguvu zaidi? Maaana kusema ukweli yule binti kesi yake imeyeyuka ghafla na Mama Kanumba naye mmhhh
 
huu ndio uzuri wa sheria.....aisee.....I love this game of justice!.....
 
Jitihada zote hizi hajatoka jamani?
Labda kweli wamebaka

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

Wazee huwa wanasema MKE WA MTU SUMU tatizo Babu seya alijifanya MAZIWA kilichotokea ni kisasi atapata unafuu wa kesi yake labda mbaya wake AFE.
 
Kwanini isiwezekane na wale ni wacongo

hata wa-Congo ni binadamu, tusiwasemee, wajisafishe wao mbele ya mahakama, vinginevyo lolote linawezekana, kama baba anazaa na binti yake, iweze kwa baba na kijana wake ku-share uhalifu. mahakama iupate ukweli na watendewe wanavyostahili tu.
 
Back
Top Bottom