Msengapavi
JF-Expert Member
- Oct 23, 2008
- 8,919
- 7,771
Dah! this is very sad!
Wameshindwa mapitio yao CAT
Tunasubiri kesi ya huyu kibabu bakaji nguli wa akudo sound aliye mtaani huko Tabora na anayetamba mitaani kwamba serikali haiwezi kumfanya kitu!
Wanasheria wasema the review did not meet legal requirements,so the guys wamerudishwa kuendelea kutumikia kifungo cha maisha,hebu Wanasheria mnisaidie nini kinahitajika hawa watu wawe huru?