Babie Kabae na Udini Clouds Tv

Babie Kabae na Udini Clouds Tv

Angehubiri ukiristo, ungesemaje? Acha udini Mzee
Kuna mtangazaji mmoja pale mweusi mfupi huwa anachomekea masuala ya imani ya kikristo ila sijaona kulaumiwa hilo,watu wajifunze kuvumiliana tu maana hapo clouds kukuta imewekwa video ya wimbo wa gospel ni kawaida tu hata kama sio kipindi cha dini.
 
Huyu dada ni mtangazaji mzuri sana ila anakera sana kila siku anakomaa kutuhubiria habari za uislamu, kutufafanulia mafundisho mbalimbali ktk vipindi vya 360, nilidhani ananikera mimi tu ila nimewahi kukaa vijiwe zaidi ya viwili tukawa tunaangalia 360 nikasikia watu wengine wakikerwa pia.

Baby Kabaya we fanya kazi iliyokupeleka, habari za kutufundisha uislamu peleka Iman Tv huko au nunua kipindi maalumu. Kila mtu hapo clouds akianza kufafanua mafundisho ya dini yake hapatatosha. Acha hayo mambo.
360 ni kipindi kipo Asubuhi, najiuliza mzee baba huna kazi hadi uwepo kijiweni na masela kuangalia hicho kipindi.

Halafu kingine kuuchukia uislam hakulipi kabisa
 
Siku ya jumapili mbona sisi hatusemi, waache kuhubiri
You people must understand! Tatizo siyo uislamu.Anapaswa aombe kipindi maalumu afungue "Madrasa"! Kipindi maalumu.Weka kichwani hivi;Kipindi maalumu cha dini ya Kiislamu!
 
360 ni kipindi kipo Asubuhi, najiuliza mzee baba huna kazi hadi uwepo kijiweni na masela kuangalia hicho kipindi.

Halafu kingine kuuchukia uislam hakulipi kabisa
Emoji yako inajieleza
 
ni kwasababu kaeleza ya kiislaam ndo inaonekana kero, angezungumzia ya kikristo ungekereka???
 
Vinalipiwa mkuu na ni vipindi maalumu kama vile vipindi vya dini ya kiislamu TBC, ITV na Channel 10 siku za ijumaa, hivyo havina shida kabisa maana ni maalumu kwaajili hiyo, 360 sio kipindi cha dini
Kwani wewe ndio Ruge?
 
Sijazungumzia kipindi cha dini cha jpili hicho nakijua,ila huyo jamaa huwa anachomokea masuala ya dini kama anavyofanya Baby kabaye.
Ulitaka achomekee nini, physics au chemistry? Yeye kaona reference ya dini ndio iko vzr.

Popote ulipo wewe tumia reference za biblia
 
Binafsi namkubali Kabaya, mdada wa hajjaaa... Mengine ya udini na dini za meli nawaachia wengine.
 
Ulitaka achomekee nini, physics au chemistry? Yeye kaona reference ya dini ndio iko vzr.

Popote ulipo wewe tumia reference za biblia
Sina tatizo naye juu ya hilo ila ndio nashangaa Baby kabaye naye akifanya kama hivyo kwa imani yake kuna watu wanaona shida.
 
Bahati nzuri Baby Kabaye yuko vizuri sana upstairs
 
Uislamu hauwez kuuzid kitu Ukristo

Uislamu umeanzishwa na ukatolik ili kusambaza Dogma zake
Sasa kwanini unaumia moyo wakati unajua hizi dini zote ni fix tu.
 
Back
Top Bottom