Babu Kijiwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2010
- 4,845
- 4,776
- Thread starter
- #241
Babie anaharibu sana kipindi mimi siangaliagi tena
kwani hua anatangaza peke yake!? ungeshauri na wale jamaa wengine watangaze ukristoSi kipindi cha kutangaza uislamu ni kipindi cha habari na matukio, sasa kwanini anaiba muda wa kipindi kutangaza dini yake?
Nyie Elimu ndogo inawatesa kwelikwelikwani hua anatangaza peke yake!? ungeshauri na wale jamaa wengine watangaze ukristo
kwani mkuu unanijua!? shukuru jf inakupa oportunity ya kujibizana na watu ambao katika mazingira ya kawaida usingepata hata muda wa kuongea naoNyie Elimu ndogo inawatesa kwelikweli
MBona kwenye magari mnatulazimisha kusikiliza makway yenu, sisi hatulalamiki.Huyu dada ni mtangazaji mzuri sana ila anakera sana kila siku anakomaa kutuhubiria habari za uislamu, kutufafanulia mafundisho mbalimbali ktk vipindi vya 360, nilidhani ananikera mimi tu ila nimewahi kukaa vijiwe zaidi ya viwili tukawa tunaangalia 360 nikasikia watu wengine wakikerwa pia.
Baby Kabaya we fanya kazi iliyokupeleka, habari za kutufundisha uislamu peleka Iman Tv huko au nunua kipindi maalumu. Kila mtu hapo clouds akianza kufafanua mafundisho ya dini yake hapatatosha. Acha hayo mambo.
==========
Updates
Leo amejirekebisha. TCRA angalieni vipindi vyote vya redio na TV wasituletee maudhui tofauti na waliyoweka kwenye maandiko yao kipindi wanaomba leseni.
Kweli kabisa, Kwa sababu ni mteja wa Mirembe.kwani mkuu unanijua!? shukuru jf inakupa oportunity ya kujibizana na watu ambao katika mazingira ya kawaida usingepata hata muda wa kuongea nao
SIO LAZIMA WATU WAJUE KUA WEWE UPO MIREMBE KAUSHA BASKweli kabisa, Kwa sababu ni mteja wa Mirembe.
Ungekuwa nae karibu ungempiga na kapu lako la matakataka.
Uislamu hauna ubaya ila una mahari pake. Ndio maana japo tu waislamu lakini tukiwa bar au club hua hatudiscuss uislamu.Kwani uislamu una ubaya gani?!!
Show me one idea only one good idea you have discussed this year. Moja tu.Simple minds discuss people but the great minds discuss ideas
Show me one idea only one good idea you have discussed this year. Moja tu.
Idea gani yamaana uliyonayo? Au ule ujinga ujinga wa kule MMU?Zipo nyingi tu, lakini kwa ujinga kama huu lazima tukemee vijana.Hivi unapata wapi muda Wa ku discuss maisha ya mtu
Idea gani yamaana uliyonayo? Au ule ujinga ujinga wa kule MMU?