Babu Kijiwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2010
- 4,845
- 4,776
- Thread starter
- #61
Bora umwambieWengine kazi tunaingia usiku usikariri, ratiba hazilingani. Kama sisi wazee wa Port Operation ni 24 Hrz. So usishangae mwenzio kwenda kubadilishana mawazo na wana saa nne baada ya kupiga mzigo usiku kucha.