Babu Kijiwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2010
- 4,845
- 4,776
- Thread starter
- #21
Clouds TV sio yakiislamu, Sam Sasari naye akianza kuhubiri ukristo itakuwaje?Mkumbuke Mola wako wakat wa Ujana wako. Shika maandiko wakati Ujana wako.
Clouds TV sio yakiislamu, Sam Sasari naye akianza kuhubiri ukristo itakuwaje?Mkumbuke Mola wako wakat wa Ujana wako. Shika maandiko wakati Ujana wako.
Kwa anayoyafanya its better akabakia kuwa Kabaya tu!Ni kabaya au kabaye.
Anamanisha kuwa pale sio mahali pake kwani wote sio waislam no sio wote wanaoupenda kama weweKwani uislamu una ubaya gani?!!.......acha ujinga kijana!
Ahsante kwa kunielewaAnamanisha kuwa pale sio mahali pake kwani wote sio waislam no sio wote wanaoupenda kama wewe
Anakera, Ruge mwambie huyo binti aache
Wewe utakuwa hufuatilii kipindi hiki, huyu kila siku lazima ahubiri uislamu utadhani amelipia air timeKutamka tu leo ni siku takatifu kwa waislam mkuu?
usiangalieWewe utakuwa hufuatilii kipindi hiki, huyu kila siku lazima ahubiri uislamu utadhani amelipia air time
Si uache kwani kipindi ni kimoja tu.Huyu kila siku si ijumaa wala jumatatu
Huyu dada ni mtangazaji mzuri sana ila anakera sana kila siku anakomaa kutuhubiria habari za uislamu, kutufafanulia mafundisho mbalimbali ktk vipindi vya 360, nilidhani ananikera mimi tu ila nimewahi kukaa vijiwe zaidi ya viwili tukawa tunaangalia 360 nikasikia watu wengine wakikerwa pia.
Baby Kabaya we fanya kazi iliyokupeleka, habari za kutufundisha uislamu peleka Iman Tv huko au nunua kipindi maalumu. Kila mtu hapo clouds akianza kufafanua mafundisho ya dini yake hapatatosha. Acha hayo mambo.
Ukisoma vizuri alichoandika utamwelewa tuKwani uislamu una ubaya gani?!!.......acha ujinga kijana!
Shika maandiko wakat wa ujana wako. Kila jumapili Clouds fm kuna kipnd cha Nyimbo za Dini.Clouds TV sio yakiislamu, Sam Sasari naye akianza kuhubiri ukristo itakuwaje?
Hajasema uislamu una ubayaKwani uislamu una ubaya gani?!!.......acha ujinga kijana!
Kina lipiwa na ni kipindi maalumu kwaajili hiyo, Hata ITV, Channel 10, TBC huwa kuna vipindi maalumu vya dini ya kiislamu hivyo havina tatizo maana ni rasmi.Shika maandiko wakat wa ujana wako. Kila jumapili Clouds fm kuna kipnd cha Nyimbo za Dini.
Yeye ndo aache maana si kipindi cha dini kileSi uache kwani kipindi ni kimoja tu.