Sasa kama mwanaume atashindwa vitu vidogo hivyo, ni kipi anachoweza tena?
Bora kulalamika bidada anataka kubadilishiwa gari kila mara au mizinga ileeeeeee mikubwaaaaa.
Ha aha ahaaaa uzuri wa type hii huwa hawana umimi yaani akifumania nyavu naye kukupiga mi perfume sijui mashuka ya home sio issue na akipata training hata Arusha tu hakawaii kukuambia"much as wananilipia chumba just drive will host you huku" mzee tartiibu unaenda hapo Nashera unapumzisha mtima"!!!!!!
Yaani mnajiongeza flani hivi na wengi sio kununa type!!!!!
Unawezaa safiri ukamuachia gari akakurudishia limeoshwa na full tank!!!!!
Huku side B sasa????!!!!!!!Akiwa nacho hujui akiwa hana anakununia yani kama konda hesabu haijatimia!!!!!
halafu we king'asti mbona unaniharibia?usimfundishe wifi yako,ataniua!!
Na unafuga kuku wa mayai na nyama. Si utachekesha with shosti.
Mwanaume kuchunwa bwanaa, hebu tulia huko!
Mwanaume kuchunwa bwanaa, hebu tulia huko!
Mi mwanaume akiwa hachuniki hata popcorn wa kazi gain?
Woooi!
Achukue alfu yake aiviringishe tu!
Mwingine kanipigia cm sasa hivi yuko chuo,eti 'baby unajua sijala hadi sasa hivi?'....sasa nimjibu nini?!
MMU imeharibika, hata popukoni nazo shida?
Hehehe, unajua wanawake tuna akili sana! Weeh jitu linakupa return ticket mbili, ama moja basi ya $ 1800. Afu ushindwe kumletea uturi ama saa ya $200? Khaa! Tena na gari unaachiwa uendeshe manake ya ofisi na ina full kiwese. Na unaambiwa nenda matombo ukasalimie mama yako mie niko busy na report na kitenge unapewa.
mjini mahesabu atii!
Ken yu imajini? Hivi popcorn kale kafuko kamoja kanachukua hata mhindi mzima mmoja?
Halafu unanitonya mi natokea kama bahati mbaya then unajidai unapokea simu ukija huko mbio unaaga as if kuna "situation" inakuhitaji ila utarudi ASAP my dada ok???!!!!!Nataka nikualike out for a movie, Noah au Divergent, my treat!
(Nalipia popcorn, juisi natoka nayo home, ni togwa)
Nataka nikualike out for a movie, Noah au Divergent, my treat!
(Nalipia popcorn, juisi natoka nayo home, ni togwa)
We hav yu bin????!!!!!Imagine!
Af oh wanawake siku hizi hawataki kufua boxer!
Khaaaaaaa
Mi mwanaume akiwa hachuniki hata popcorn wa kazi gain?
Woooi!
Achukue alfu yake aiviringishe tu!