Mbwa dume
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 5,539
- 9,076
Kwa sababu wako juu ya sheriaKwani CCM hawatakiwi kuulizwa kibali cha mkutano?.
Ccm hata akiua mtu hafungwi ila anapandishwa cheo
Kwa sababu wako juu ya sheriaKwani CCM hawatakiwi kuulizwa kibali cha mkutano?.
Ni Katibu wa vijana.Miaka 46 kijana?
Amandla...
Katibu ni mwajiriwa haijalishi umriMiaka 46 kijana?
Amandla...
Tangu lini uliipenda cdm wewe gamba wa lumumba?Maajabu ya Ccm
Yumkini uvccm siyo lazima umri,kikubwa ukubali kutumika.Miaka 46 kijana?
Amandla...
Walishaachiwa jana na hata clouds waliwahoji.Wamesema jambo hilo litajadiliwa kiutawala "adminstratively"Viongozi CCM mbaroni kwa kumjeruhi Askari Polisi
KATIBU wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wilayani Babati Filbert Mdaki (52) na Katibu wa Jumuiya ya Vijana UVCCM wa Wilaya hiyo, George Sanka (46) wanashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kumpiga Askari Polisi mateke na fimbo.
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Manyara, Benjamin Kuzaga, amethibitisha kutokea kwa tukio hilo, ambapo amesema kuwa tukio hilo lilitokea Desemba 16 majira ya saa 11 jioni katika kijiji cha Kirudiki wilayani Babati.
Kamanda Kuzaga amesema watuhumiwa hao walimshambulia Koplo Baraka wa Kituo kidogo cha Polisi Kiru kwa mateke na fimbo baada ya kufika kwenye mkusanyiko wa wananchi wa Kijiji cha Kirudiki.
Askari huyo baada ya kuona mkusanyiko alifika ili aulizie juu ya kibali cha mkusanyiko huo, ndipo viongozi hao wakamshambulia maeneo mbalimbali ya mwili,” amesema kamanda Kuzaga.
Amesema uchunguzi wa tukio hilo unaendelea na ukikamilika watuhumiwa hao watafikishwa mahakamani.
View attachment 2052547
Chanzo cha Habari IPP Media
Duh.Walishaachiwa jana na hata clouds waliwahoji.Wamesema jambo hilo litajadiliwa kiutawala "adminstratively"
Haki ya nani🤣🤣😂😂😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Bwana niache🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hali ni tete huku kijani kibichi
Asante baba Pinda🤣Hata wewe ukifanya fujo utapigwa tu wala hakuna namna nyingine
Inaonekana mambo ya ku 'piga piga' yapo damuni mwa wakulimaAsante baba Pinda🤣
Hakuna ubaya wa ujana kama ilivyo kwa wenyeviti wa bodi ambao above 60 nakuendelea.Yaani katibu wa vijana ana miaka 46.
Hivi ujana unaishia umri gani vile???
Sent from my LM-K500 using JamiiForums mobile app
Inaonekana mambo ya ku 'piga piga' yapo damuni mwa wakulima
A gentleman doesn’t need to hit a woman to feel like a man. After all, he’s a gentle man 😉
Na wewe usije tu ukawa una damu ya kupiga piga
This is my manA gentleman doesn’t need to hit a woman to feel like a man. After all, he’s a gentle man
TunaelewanaThis is my man
Nakuelewa sana
Najua unajua😘Tunaelewana
EwaaaaNajua unajua😘
Unajua vile na..😉❤Ewaaaa
Oh tupo siasani kumbe😂😂😁Ewaaaa