Mwanangu amekuja nyumbani na tatooo baada ya kutoka chuo

Nyamesocho

JF-Expert Member
May 5, 2023
476
1,244
Huyu ni mtoto wa kaka angu ambaye pia ni mchungaji wa kanisa,binti alikuwa mstaarabu sana alipokuwa sekondari, mwaka Jana alijiunga na chuo cha Mistu kilichopo Arusha

Juzi akiwa nyumbani usiku wamelala na mdogo wake wa kike alivua nguo mdogo wake akaona amejichora tatoo juu ya titi la kushoto na mdogo wake akamwambia mama na mama akamwambia baba ikaleta tafrani kwenye familia

Jana usiku wadogo mtu tumeitwa kumhoji binti, binti hakusema chochote akabaki tu anabubujikwa na machozi na badala yake tumempa kazi mama yake amhoji kwa nini amefikia hatua ya kujichora tatoo kifuani yenye maandishi(I love you J)

Mabinti zetu vyuoni mnaenda kusoma au kufanya mambo ya ajabu ajabu ambayo yatawagharimu mbeleni

Jiulize asipoolewa na huyo J,siku anapata mchumba mwingne akamkuta na hayo machata kuna ndoa hapo kweli? Tena mtoto wa mchungaji aliyelelewa kwenye maadili

Kuna haja ya kutoa elimu ya kutosha kwa vijana wetu waendapo vyuo, vinginevyo tutavuna mabua

Updates

Baada ya mama mtu kuamua kumkalisha binti yake yaliyojiri ni kama ifuatavyo

Binti amekili kuchora tatoo kwenye mwili wake kama mdogo wake alivyoiona
Anasema amekuwa na mahusiano na J ambaye ni msanii chipukizi wa bongoflava ambaye anafanyia mziki Jiji la Arusha

Anakili kuwa siku moja rafiki zake wa kike walimtoa out club moja jijini Arusha na hao wasanii walikuwa stejini wakitoa show

Huyo J alikuwa stejini akamuomba wacheze naye stejini baadae akabadilishana na namba za simu na mahusiano yakaanzia hapo na huyo J alimtaka achore tatoo hiyo ili awe na yeye tu ili asiweze kutoka na mwanaume mwingine

Anakili tangu ajiunge na hicho chuo hakuwahi kwenda kusali na misaafu aliyopewa na baba yake alitupa kwenye pipa la takataka la mitaani usiku

Anakili huyo J kutaka kumfundisha kunywa pombe na kutumia madawa ya kulevya

Ameomba msamaha kwa wazazi,ndugu na washirika wa kanisa lao

Yupo tayari kupima magonjwa yote

NB wazazi tuwe makini sana
 
Huyu ni mtoto wa kaka angu ambaye pia ni mchungaji wa kanisa,binti alikuwa mstaarabu sana alipokuwa sekondari, mwaka Jana alijiunga na chuo cha Mistu kilichopo Arusha

Juzi akiwa nyumbani usiku wamelala na mdogo wake wa kike alivua nguo mdogo wake akaona amejichora tatoo juu ya titi la kushoto na mdogo wake akamwambia mama na mama akamwambia baba ikaleta tafrani kwenye familia

Jana usiku wadogo mtu tumeitwa kumhoji binti, binti hakusema chochote akabaki tu anabubujikwa na machozi na badala yake tumempa kazi mama yake amhoji kwa nini amefikia hatua ya kujichora tatoo kifuani yenye maandishi(I love you J)

Mabinti zetu vyuoni mnaenda kusoma au kufanya mambo ya ajabu ajabu ambayo yatawagharimu mbeleni

Jiulize asipoolewa na huyo J,siku anapata mchumba mwingne akamkuta na hayo machata kuna ndoa hapo kweli? Tena mtoto wa mchungaji aliyelelewa kwenye maadili

Kuna haja ya kutoa elimu ya kutosha kwa vijana wetu waendapo vyuo, vinginevyo tutavuna mabua
Huyo keshakuwa tatizo, kashakanyaga pabaya, demu mchora tatoo maana yake ni ipi kama sio ....
 
Kapigwa ukuni mpaka kakolea kaona achore tattoo kumuenzi mwenye ukuni
 
Umsilaumu sana, hayo ni matokeo ya kutokuandaliwa vyema kabla ya kwenda chuo. Maisha ya chuo yamempa Uhuru, sasa huo uhuru akaamua kuutumia vile anavyodhania. Ni ushamba wa kichuo chuo.
 
Back
Top Bottom