Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,033
- Thread starter
-
- #61
ahaa..sema ss nakusikiliza
Tisubiri taarifa zake kutoka kwa Dr
pole....
Katiba hairuhusu kumiliki wanawake zaidi ya m-moja
mmmh nitamwaga pm zako hapa
Mh.....!
Ana kazi sana!:yo:
pole....
Hizi ni salamu zake kwenu.
My people kwa masikitiko makubwa nawataarifu kuwa nimepelekwa selo baada ya kukwaruzana na mtu kule siasani, nafanya utaratibu wa kuwasiliana na mods wani release, Inshallah wakinikubalia tutakuwa pamoja, in my absence habari zote za mahusiano na ndoa ziwasilishwe kwa makamu na makaimu wangu gfsonwin na watu8, otherwise tuko pamoja.
Copy: ummu kulthum ; Kwa sababu maalum
ha ha haaaa mshua ana majanga huyo so goja nimshikie ki mtindo si unajua tena jamaa kwa babuuuuu anahudhuria kwa sana.
Ombi langu la mie na wewe kua mke na mume harali
Suprise ni mwanamke pekee ninae mpenda humu Jf