Mzee baba umenichekesha mpaka nimecheka kwa nguvu alafu nipo kwenye daladala watu wananishangaaMbengo TV?..
Mzee baba umenichekesha mpaka nimecheka kwa nguvu alafu nipo kwenye daladala watu wananishangaaMbengo TV?..
Daah we Jamaa snitch sana!!! Huu ni uuwajiNa Harmonize akimchukua Baba ake Diamond amlee kama Baba yake itampaisha sana kimuziki,tunasema itampa kiki mana mondi na mama yake walishamkataa wwnyewe so yeye amchukue afanye nae tour kwwnye show zake then ampe nafasi ya kuongea machache.
Atammaliza sana mondi wabongo tunapenda tuvitu vitu vidogo vidogo visivyo na mantiki sana then tunavipa headlines na kuvifatilia sana.
Mwambie anavuna alichopandaMbona unamsema kwa makasiriko jirani yangu?
Waandishi na nyie mumuache mzee wa watu apumzike.
Alipokuwa kwenye mahojiano na Mbengo TV hivi majuzi, mzee Abdul alimsihi Diamond ......
SIsi tunamjua mtoto wa NYANGEMzee Abdul ni baba mzazi wa Diamond?
OnlineHii Mbengo TV ipo kwenye king'amuzi gani?
Inapatikana Mbanganga😂😂😂Hii Mbengo TV ipo kwenye king'amuzi gani?
Shangaa na wewe.Mzee Abdul ni baba mzazi wa Diamond?
Oya.....!! sijawahi cheka ka ivi aiseee
Muziki bila kiki hauendi,Wanaojua Muziki hata hawasikiki sababu hawana connection za kiki,unaowasikia wako Planned kusikika kwa maslahi ya watuTUNATAKA MUZIKI SIO KUTUMIA KIKI CHA MUHIMU AJITAHIDI KUTUMIA MUZIKI WAKE KUPATA UMAARAFU NA SIO KUDANDIA KIKI
YEYE ANA NDUGU WANGAPI WANAHITAJI MSAADA NA HAJAWACHUKUA KUWALEA??
Hahahaha dawa ya moto ni moto mkubwa mkuu sio maji,kumtelekeza Mshua namna ile sio uuwaji ule?
Mi najua Diamond amegaiwa kwa Mzee Nyange!Mzee Abdul ni baba mzazi wa Diamond?