Kwa mtazamo wangu, Harmonize amemuiga Diamond Platnumz kwenye wimbo wake wa Attitude

Quimica

JF-Expert Member
Feb 21, 2018
1,029
1,254
Habari za usiku wana JamiiForums hope wote ni wazima.

Siku ya leo, masaa machache yaliyopita msanii kwa jina la Rajabu abdul A.K.A Harmonize ameachia wimbo wake uitwao "attitude " aliowashirikisha kina Awilo pamoja na mtaalamu wa miuno H.BABA.

Mimi sio shabiki wa pande yeyote yaani sio wa WCB wala Kondegang lakini nimesikitishwa pale nlipooona kuwa ameiga style mbalimbali za Diamond Platnumz.

Kama umeangalia wimbo huo vizuri utaona wameiga au tuseme wamefanya kama Diamond. Mfano aina ya mavazi yaliyotumika yanaendana na mavazi ya nyimbo ya "waah "ya Diamond Platnumz ft Koffi Olomide pamoja na style ya kucheza ambapo wameiga nyimbo ya "inama" aliyoimba Diamond na Fally Ipupa na pia style ya "yope "ya Innos b pamoja na Diamond Platnumz.

Je, mmeona hivyo au ni macho yangu tu?

!! Maestro de quimica !!

images%20(53).jpg
images%20(54).jpg
download.jpg
 
Habari za usiku wana jamii forums hope wote ni wazima ,siku ya leo muda masaa machache yaliyopita msanii kwa jina la Rajabu abdul A.K.A Harmonize ameachia wimbo wake uitwao "attitude " aliyowashirikisha kina Awilo pamoja na mtaalamu wa miuno H.BABA,mimi sio shabiki wa pande yeyote yaani sio wa WCB wala Kondegang lakini nimesikitishwa pale nlipooona kuwa ameiga style mbalimbali za Diamond platnumz ,kama umeangalia wimbo huo vizur utaona wameiga au tuseme wamefanya kama Diamond ,mfano aina ya mavazi yaliyotumika yanaendana na mavazi ya nyimbo ya "waah "ya diamond platnumz ft Koffi olomide pamoja na style ya kucheza ambapo wameiga nyimbo ya "inama" aliyoimba diamond na fally ipupa na pia style ya "yope "ya innos b pamoja na diamond platnumz ,Au mimi nmeona vibaya ??tupe comment yako



!! Maestro de quimica !!View attachment 1761973View attachment 1761975View attachment 1761976
Hapa wameigaaa pakudance kama umeangalia nyimbo ya yope pale anaposema "hasaaa inama basi pinda mugongo "
Screenshot_20210423-233422_Video%20Player.jpg
 
Kwani kuiga ni dhambi? Duniani hakuna jipya,unaacha kula daku unakuja kuleta habari ya kuiga,toa yako na wew tuone
 
Kwani kuiga ni dhambi? Duniani hakuna jipya,unaacha kula daku unakuja kuleta habari ya kuiga,toa yako na wew tuone
Ndo tatizo la Tz ,toa hoja usiropoke !! wapo weng wanaotengeneza nyimbo bila yakuiga unabisha?by the way mm sio mwislam so sio wa daku .
 
Ndo tatizo la Tz ,toa hoja usiropoke !! wapo weng wanaotengeneza nyimbo bila yakuiga unabisha?by the way mm sio mwislam so sio wa daku .
Najua tatizo kamuiga Diamond ndo maana umemind ila ingekua kamuiga msanii tofauti na huyo usingekuja kuleta uzi hapa, in short Tz wasanii wanaojielewa ni wachache sana.wengi ni copy&paste so mie sijaona ajabu kwa konde kufanya kama unavosema
 
Kama kuiga basi alianza Mond... Yope uisemayo sio wimbo wa pamoja ni wa innos b ila mond akapenda auige wakafanya remix... hiyo wah.. mwanzo niliisikia kwakina marehem banza. Mavazi hayana mwenyewe ni aina ya wimbo unahitaji mavazi hayo. Mond Oiyeeh. Harmonize Safi
 
Back
Top Bottom