Baba mzazi wa Diamond Platnumz Mzee Abdul Juma ametoa wito kwa mwanawe kuelewana na Harmonize

Na Harmonize akimchukua Baba ake Diamond amlee kama Baba yake itampaisha sana kimuziki,tunasema itampa kiki mana mondi na mama yake walishamkataa wwnyewe so yeye amchukue afanye nae tour kwwnye show zake then ampe nafasi ya kuongea machache.

Atammaliza sana mondi wabongo tunapenda tuvitu vitu vidogo vidogo visivyo na mantiki sana then tunavipa headlines na kuvifatilia sana.
Daah we Jamaa snitch sana!!! Huu ni uuwaji

Sent from my E2363 using JamiiForums mobile app
 
TUNATAKA MUZIKI SIO KUTUMIA KIKI CHA MUHIMU AJITAHIDI KUTUMIA MUZIKI WAKE KUPATA UMAARAFU NA SIO KUDANDIA KIKI

YEYE ANA NDUGU WANGAPI WANAHITAJI MSAADA NA HAJAWACHUKUA KUWALEA??
Muziki bila kiki hauendi,Wanaojua Muziki hata hawasikiki sababu hawana connection za kiki,unaowasikia wako Planned kusikika kwa maslahi ya watu
 
Back
Top Bottom