Harmonize amtupia madongo Diamond Platnumz jukwaani amtaja kwa jina

Lord Diplock MR

JF-Expert Member
Mar 16, 2015
1,393
3,234
Hatimaye Harmonize hatumii mafumbo tena kumpiga madongo Diamond Platnumz amesikika jukwaani akitaja majina kabisa nanukuu

"Baba na mama ndiyo nguzo ya dunia watunze wote, siyo baba Dangote analia, mama Dangote anachekacheka tu..."
 
Mziki mgumu husipo muongela Diamond utamuongelea nani.

Mwaka 2020 umeisha pamoja na kuwa na album yenye nyimbo 18 na nyingine 5,lkn mapromota wamemchunia kaishi kufanya show za CCM na hizi za Sayona.

Nasiki yupo Zanzibar anashoot video 100,anapo elekea atadata nasikia siku hizi anakula bangi.


🤣🤣🤣
 
Wasafi classic, family ya Diamond,kondegang wote ni kitu kimoja,

Malumbano ya mond na harmo ni mpango ambao kwa haraka unaweza jua watu wana ugomvi kumbe ni mbinu ya kuendelea kutrend na kushikilia industry ya muziki hapa bongo
 
Back
Top Bottom