Baba mimi ni mwanao wa ngapi??

mi mwenzenu kizungu siwezi sasa kuna mtu kaniambia niibadili hii sentesi kwa kizungu>>> "baba mimi ni mwanao wangapi"?

nisaidieni
 
nikijaribu kufikiria kwa kingereza bongo ina jam. muulize super mod Fang au Kiranga.
 
Sema hivi:
Dady how many children you had before me?
NIPENI ZAWADI YANGU
 
inamaana unakabisa google translater hadi umtafute kiranga au fang?
 
Hili swali limewahi kujibiwa vema sana.Angalia jukwaa la lugha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…