Kwenye maisha ni lazima ujifunze kupotezea. Mara yangu ya kwanza kuona mtu anakula senene nilishangaa sana na nilijiaminisha kwamba sitokuja kula senene (wakati huo niliona ni wadudu) /panzi.
Miaka miwili mbeleni nilikuja kukutana na mwanamama mmoja mrembo sana nikaangukia kwenye penzi lake, siku nimetoka nimeenda zangu kuhangaika jioni narudi nakuta kaniandalia senene wamewaka ile mbaya. Nikaweka msimamo hao wadudu mimi sili akanikaushia akawala yeye wengine wakabakia.
Usiku namuomba chiu akakataa katakata kwa kudai nimedharau chakula kwa kuita wadudu, nikaona mmmmmhhhh! Nikose utamu kisa senene? Mbona yeye kala na hajadhurika! Nikamuomba samahani akainuka akawaleta nikafumba macho nikabugia nikawala ooohoooooooooo......ni watamu hatari ! ,[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] Nikawatafuna wote....kisha akaniambia sasa Chiu Mali yako vurugua uwezavyo ......
Binafsi sipendelei kula nyama ya Bata kwasababu ya namna alivyo tu, lakini haimaananishi nikikukuta wewe unakula nakwazika.
Sent using
Jamii Forums mobile app