Baba mdogo anakula kitimoto hadharani

Baba mdogo anakula kitimoto hadharani

Niliwahi kuwa na mahusiano na dada mmoja wa kiislamu miaka ya ujana wangu. Mwanzoni wakati namtongoza alinikataa kwasababu eti nakula kitimoto, sikumkatia tamaa nikaendelea kumbembeleza siku akakubali tukazana penzini.

Baada ya kumbanjua kwa zaidi ya mara tatu akakolea penzini ,siku moja akanitembelea geto akanikuta nimepoa poa sinachangamka ,kuniuliza nikamwambia nina hamu sana ya kula kitimoto sijala muda mrefu ....... Akaenda kuniletea nikala kisha yaliyofuata baada ya pale ni historia.

Mbeleni naye alianza kula mdogo mdogo haadi alipozoea na hadi sasa ni mlaji mzuri tu wa kitimoto japo anakula kwa kujificha sana.

Hizi dini ni mapokeo toka kwa waarabu na wazungu lakini zinatupelekesha utafikiri ni asili yetu

Sent using Jamii Forums mobile app
Loooh hiyo nyama ni tamu??
 
Was salaam.

Ni hivi upande wa baba wapo mseto lkn %95 ni wakristo, %5 ndiyo siye,

Baba mdogo kaja nyumbani kutusalimia na ana wiki sasa,

Shida ba mdogo anapenda kula kitimoto balaa,

Yaani chai yake ni kitimoto na pepsi,

Shida anakuja nacho ndani, kama leo kamtuma boda amletee na muda boda kaja ba mdogo anaoga na akaniambia nikampokelee

Na kumuambia asilete ndani nitaanzaje??

Hawezi kuona tunamnyanyapaa??

Au hatumtaki??

Je anafanya kusudi?? maana anaelewa kuwa hatutumii,

Naombeni ushauri nitumie njia gani kumfikishia kuwa hatupendezewi na hii tabia?

NB. Mama hajui maana si mtu wa nyumbani.
Mtoto mdogo sana
 
Mwache ale kwa afya yake, hii kitu ni tamu nyie! Kuendelea kuamini maneno ya mwarabu tusifaidi neema za nchi ni kujitesa bure.
 
Tena mshukuruni Sana kuleta ndani, maana Yale madude yaliyotoka uarabuni Yale ambayo huwaingia watu na kiwatesa yatakimbia hapo nyumbani kwenu
 
Angekuwa anakula huko mabandani kwa kitimoto
Kwenye maisha ni lazima ujifunze kupotezea. Mara yangu ya kwanza kuona mtu anakula senene nilishangaa sana na nilijiaminisha kwamba sitokuja kula senene (wakati huo niliona ni wadudu) /panzi.

Miaka miwili mbeleni nilikuja kukutana na mwanamama mmoja mrembo sana nikaangukia kwenye penzi lake, siku nimetoka nimeenda zangu kuhangaika jioni narudi nakuta kaniandalia senene wamewaka ile mbaya. Nikaweka msimamo hao wadudu mimi sili akanikaushia akawala yeye wengine wakabakia.

Usiku namuomba chiu akakataa katakata kwa kudai nimedharau chakula kwa kuita wadudu, nikaona mmmmmhhhh! Nikose utamu kisa senene? Mbona yeye kala na hajadhurika! Nikamuomba samahani akainuka akawaleta nikafumba macho nikabugia nikawala ooohoooooooooo......ni watamu hatari ! , Nikawatafuna wote....kisha akaniambia sasa Chiu Mali yako vurugua uwezavyo ......

Binafsi sipendelei kula nyama ya Bata kwasababu ya namna alivyo tu, lakini haimaananishi nikikukuta wewe unakula nakwazika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Was salaam.

Ni hivi upande wa baba wapo mseto lkn %95 ni wakristo, %5 ndiyo siye,

Baba mdogo kaja nyumbani kutusalimia na ana wiki sasa,

Shida ba mdogo anapenda kula kitimoto balaa,

Yaani chai yake ni kitimoto na pepsi,

Shida anakuja nacho ndani, kama leo kamtuma boda amletee na muda boda kaja ba mdogo anaoga na akaniambia nikampokelee

Na kumuambia asilete ndani nitaanzaje??

Hawezi kuona tunamnyanyapaa??

Au hatumtaki??

Je anafanya kusudi?? maana anaelewa kuwa hatutumii,

Naombeni ushauri nitumie njia gani kumfikishia kuwa hatupendezewi na hii tabia?

NB. Mama hajui maana si mtu wa nyumbani.
Ndugu miaka iyo sisi wakati tunakua ilikuwa mtoto akitaka kwenda shule au sehemu ya mbali na Nyumabani kwenye nguo yake anafungiwa mfupa wa kitimoto! Amini ni kinga tosha ya Majini na mashetani mabaya, Kama una mtu hapo nyumbani anasumbuliwa na Majini angalia kipindi hichi ambacho mjomba anatumia hapo happy nyumbani Kama atasumbuliwa. Lakini kilicho haramu kwako siyo kitimoto ni kula kitimoto, kwahiyo Kama hajakulazimisha utumie muache aenjoy maisha, ndiyo maana ni haramu kwake kuwa na wanawake wengi kwako halali lakini hajakuzia kwenda kwake na wake zako wote.
 
Back
Top Bottom