Onja tu ni tamu balaa, najisi ni kile kitokacho na si kiingiachoWas salaam.
Ni hivi upande wa baba wapo mseto lkn %95 ni wakristo, %5 ndiyo siye,
Baba mdogo kaja nyumbani kutusalimia na ana wiki sasa,
Shida ba mdogo anapenda kula kitimoto balaa,
Yaani chai yake ni kitimoto na pepsi,
Shida anakuja nacho ndani, kama leo kamtuma boda amletee na muda boda kaja ba mdogo anaoga na akaniambia nikampokelee
Na kumuambia asilete ndani nitaanzaje??
Hawezi kuona tunamnyanyapaa??
Au hatumtaki??
Je anafanya kusudi?? maana anaelewa kuwa hatutumii,
Naombeni ushauri nitumie njia gani kumfikishia kuwa hatupendezewi na hii tabia?
NB. Mama hajui maana si mtu wa nyumbani.
Nafikiri hajui kuwa anawaumiza.Yupo kwa muda.
Hebu onja finyanga moja utamuelewa baba mdogo. Ulipo mpokelea Ile harufu haikukufanya udondoshe mate?
Wewe onja utaniambia, mhaya mwenyewe anakuambia senene Ni takataka mbele ya kitimoto.

we jamaa ni mkorofi sana ujue.

Mkubwa hakosei we ni vitu haramu vingap unatumia mpak uanze kumkosa baba yako mdogo, kope za bandia mawingi yabandia, rangi za kujiremba zote haramu,bado unazini ujaolewa haramu, yani uwezi mkosoa mwache afaudu nyama pendwa

Pombe ni kharam kuliko huyo pua bapa.Was salaam.
Ni hivi upande wa baba wapo mseto lkn %95 ni wakristo, %5 ndiyo siye,
Baba mdogo kaja nyumbani kutusalimia na ana wiki sasa,
Shida ba mdogo anapenda kula kitimoto balaa,
Yaani chai yake ni kitimoto na pepsi,
Shida anakuja nacho ndani, kama leo kamtuma boda amletee na muda boda kaja ba mdogo anaoga na akaniambia nikampokelee
Na kumuambia asilete ndani nitaanzaje??
Hawezi kuona tunamnyanyapaa??
Au hatumtaki??
Je anafanya kusudi?? maana anaelewa kuwa hatutumii,
Naombeni ushauri nitumie njia gani kumfikishia kuwa hatupendezewi na hii tabia?
NB. Mama hajui maana si mtu wa nyumbani.
Pweza hatishi?Hata kama nisingekuwa na imani hii nisingeila hiyo nyama,,yule mnyama tu anatisha![]()
Onja kidogo tu.Was salaam.