Huyo kijana hana adabu aache kunisemasema hovyo mitandaoni! Sio kula tu, nawafuga kabisaWas salaam.
Ni hivi upande wa baba wapo mseto lkn %95 ni wakristo, %5 ndiyo siye,
Baba mdogo kaja nyumbani kutusalimia na ana wiki sasa,
Shida ba mdogo anapenda kula kitimoto balaa,
Yaani chai yake ni kitimoto na pepsi,
Shida anakuja nacho ndani, kama leo kamtuma boda amletee na muda boda kaja ba mdogo anaoga na akaniambia nikampokelee
Na kumuambia asilete ndani nitaanzaje??
Hawezi kuona tunamnyanyapaa??
Au hatumtaki??
Je anafanya kusudi?? maana anaelewa kuwa hatutumii,
Naombeni ushauri nitumie njia gani kumfikishia kuwa hatupendezewi na hii tabia?
NB. Mama hajui maana si mtu wa nyumbani.

Mmmmmmmushauri
Hamna kitu ambacho ngurue Hali ;Nguruwe kuzidi, maana anakula hadi kinyesi chake

Basi msaidiane tu huyu baba mdogo. Muacheni aenjoy mpaka atakapoondokaHuyo aunt
Kama nilivyosema %95 ni kristo, kwao tunaendaga na vyombo tunashare
MmmmhHuyo kijana hana adabu aache kunisemasema hovyo mitandaoni! Sio kula tu, nawafuga kabisaView attachment 2420929
![]()
Majaribu ni mtaji..!!Was salaam.
Ni hivi upande wa baba wapo mseto lkn %95 ni wakristo, %5 ndiyo siye,
Baba mdogo kaja nyumbani kutusalimia na ana wiki sasa,
Shida ba mdogo anapenda kula kitimoto balaa,
Yaani chai yake ni kitimoto na pepsi,
Shida anakuja nacho ndani, kama leo kamtuma boda amletee na muda boda kaja ba mdogo anaoga na akaniambia nikampokelee
Na kumuambia asilete ndani nitaanzaje??
Hawezi kuona tunamnyanyapaa??
Au hatumtaki??
Je anafanya kusudi?? maana anaelewa kuwa hatutumii,
Naombeni ushauri nitumie njia gani kumfikishia kuwa hatupendezewi na hii tabia?
NB. Mama hajui maana si mtu wa nyumbani.
Wewe dogo nani aliyekuambia kitimoto Haramu?Was salaam.

Maji hufuata mkondo yakhe 😀😀😀😁Ukiona hivyo jua na Baba yako anakula ila kwa kificho.
Nikuambie kitu imani ni kitu Cha ajabu mnooo yaani hata akionja kwa kua ni haramu kwake hataona utamu wake Mimi nshakula na sikuona hyo Ladha nilikua bahati mbaya ya aunty yangu na sitamani ndugu zangu wanakula mbele yangu ila walaa ht tamaa sipatiHebu onja finyanga moja utamuelewa baba mdogo. Ulipo mpokelea Ile harufu haikukufanya udondoshe mate?
Wewe onja utaniambia, mhaya mwenyewe anakuambia senene Ni takataka mbele ya kitimoto.