THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 18,855
- 15,196
Hakuna mwisho, mtoto ni mtoto tu kwa baba.
MIMI NADHANI AKISHAANZA KUCHOMOZA CHUCHU NA KUANZA KUNAWIRI MASABURI NI VEMA SISI KINA BABA TUKAACHANA KABISA NA BIASHARA HII..
:smile: :smile:
Hakuna mwisho, mtoto ni mtoto tu kwa baba.
Wanyamwezi tunaimba "Yuyo yuyo Wazwa Mbili, wakomalile......"
Maana yake ni kuwa "Huyo, huyo kaota matiti, amekomaa....."
Ukiona tuchunusi na embe dodo zinatokea kifuani, Pishia mbali 🙂
"mbele"
Lakini ukumbuke akishafika miaka 6 anakuwa amefikia umri wa kuolewa, sasa utampakata vipi mke wa mtu?
Inategemea wewe ni Mnyamwezi wa wapi....
Sisi wa Sikonge tunasema VYENIVYO. Wasukuma wanasema SHENISHO. Wa Usoke wanasema FYENIFYO........
hahahahahah! basi nadhani nimeingiza kisukuma hapa!
Unaweza pia kuwa sawa. Unajua Kinyamwezi, haya maneno kama mbili au mbele yanatatiza sana. Unapotamka hiyo I au E, unakuwa umelegeza sauti ki-aina na hapo sauti inavyotoka, haijulikani ni I eu E.
Ni sawa na neno kama Vava (Baba) au Vantu (watu). Hiyo V siyo Strong V kama ya kiswahili. Ila kwa makabila ya Kibantu yenye hiyo V kama sisi, basi huwa inageuzwa na kuwa W au B na wengine huiacha kama V. Ndiyo maana unaona majina kama Lyoba au Lyova, Lyuba au Lyuva(jua), Kawemba au Kavemba...... Nafikiri umenipata vizuri. Samahani mie siyo mtaalamu/mwalimu wa lugha na hivyo kuelewesha niko dhaifu sana.
oh noooooooooooo GAZETI habari hii imeumiza nafi yangu!dah aNataka nieleze tukio la kweli kabisa, yeyote anayetaka uthibitisho
atafuata maelekezo yangu mwisho.
Yuko mzee mmoja ni Mnyakyusa, baada ya kufiwa
na mkewe akawa amebaki na yule binti yake "MAGE" ndio jina maarufu
sina uhakika kama ni Magdalena au Magreth, siku hizo alikuwa darasa la
nne.
Mzee akawa analala na binti yake, binti alipofika darasa la Tano akaanza
kuumwa. Kina mama wa pale mtaani wakampeleka Hospitali ambako
alipata vipimo na kuthibitika kuwa ana maambvukizi ya virusi vya UKIMWI
Kama kawaida ya kina mama walimbana na kutaka kufahamu kwa umri huo
alikuwa anashirikiana na nani, ndipo ikaja kubainika kuwa baba yake mzazi
ndio kafanya yote hayo. Kinachonisikitisha zaidi ni kuwa baba mzazi alikuwa
anafahamu hali yake kiafya, kwanini alifanya hivyo?
Mwaka 2010 yule binti aligoma kuendelea kumeza dozi ya kudhoofisha
vijidudu vya ukimwi, mwaka huohuo akafariki, wakati baba yake amefariki
mwaka 2011.
Ni kisa cha kweli ambacho kimetokea Yombo - Sigara.
Hata mimi iliniumiza sana, ungekuwa uko Tanzania ningekuelekeza
ni wapi unaweza kuipata habari hii na kuithibitisha.
Umewahi kuquote mkuu, nilikuwa naedit, by the way hakijaharibika kitu.nipo tanzania mwaya!ila hata sitaki niithibitishe kuimagine tu nimeumia hivi hapana kwa kweli!
Msiige wamarekani.
![]()
Obama anaona tofauti ya mabinti wadogo na wakubwa.
![]()
![]()
Ingawa kwa kwetu hapa baba uko karibu mno na binti zako wa umri huu.
MIMI NADHANI AKISHAANZA KUCHOMOZA CHUCHU NA KUANZA KUNAWIRI MASABURI NI VEMA SISI KINA BABA TUKAACHANA KABISA NA BIASHARA HII..
:smile: :smile:
Lakini ukumbuke akishafika miaka 6 anakuwa amefikia umri wa kuolewa, sasa utampakata vipi mke wa mtu?
Hata akishaolewa, kama mwenyewe anaona raha kupakatwa na baba'ke kwanini nimyime raha zake? Ni bora kumpakata mwanao au kumpaka baameidi?