Baba kumpakata bintiye huishia umri gani ?

Baba kumpakata bintiye huishia umri gani ?

Watoto hawapendi kupakatwa pakatwa hasa wakisha fikisha miaka 10 wawe wa kike au wa kiume.
 
aaaaah...mwisho upo bana!..miaka sita hadi saba ndi mwisho. Kwa mtazamo wangu.
 
,teh teh teh teh,babu bwana,umewaza nini hadi ukaamua kusema hivi,vipi yamekukuta au kuna mtu yamemfika nini??!ngoja tusubirie wajuvi wa masuala ya kimahusiano ya kijamiii,kisosholojia na kiintelijinsia watatujuza,mi nipo tu nawakodolea huku nikijaribu kuwachallenge
 
kha!! mtot wangu mwenyewe nisimpakate tena....ebu wacheni zenu bwna. as long as my daughter she can seat on daddy's lap any time...well apart from wen wife amekaa
 
We uliishia kupakatwa ukiwa na umri gani? Au hukumbuki?

Sina haja ya kukuuliza uraia wako ni wa nchi gani maana teyeri nishajua Ndugu Mchaka Mchaka ni Mtanzania pyuuu
Unaulizwa swali na wewe unauliza swali hahahahaha ok letzz goo tuze mada

Isije ikawa uliemuuliza bado anapakatwa na father wake maana swali ni la kitinejaaa
 
Wanyamwezi tunaimba "Yuyo yuyo Wazwa Mbili, wakomalile......"

Maana yake ni kuwa "Huyo, huyo kaota matiti, amekomaa....."

Ukiona tuchunusi na embe dodo zinatokea kifuani, Pishia mbali 🙂
 
Mwisho ni pale bint anapofikisha umri wa kuolewa (e.i. 16yrs).
 
Ninavyofahamu hakuna sehemu yeyote ile ambayo kumeandikwa kuwa mwisho wa baba kumpakata binti ni miaka mingapi! Ila nafikiri ni vyema hekima ikatumika kuamua hili. Binti akishafikisha miaka sita na kuendelea ni vyema baba ukaanza kuchukua hatua za kupunguza habari za kupakatana ....
Na hili ni kwa watoto wa jinsi zote!!!
 
Ngoja tusubiri wadada wa humu watuambie wao waliacha kupakatwa na baba zao wakiwa na umri gani. Ni mda nzuri hii.

Kwa uzoefu wangu ni nadra mno kukuta baba kapakata binti wa miaka zaidi ya mitano. Labda hawa baba wa kileo.
 
Mimi nafikiri mzazi hasa wakiume anatakiwa ampakate mtoto wa kike mpaka mtoto akishafikisha mwaka mmoja halafu asimpakate tena.
Hii ni kwasababu muda mwingine wababa wanakua na akili za ajabu ambazo zinaweza kupelekea kuja kumgonga ngozi mwanae[kula kuku na mayai yake].
 
Ni swali ambalo labda wababa wengi wenye watoto wa kike wanahangaika nalo...na hawana mahali pa kuuliza kabla ya watu hawajaanza kuwashangaa..

Hii mzee ni natural phenomenon!

1. Mwanzo itakuwa akikuona tu umekaa sehemu basi nae atakuja na kuanza kuomba umpakate.
2. Itafikia hatua akikuona umekaa sehemu nae atakuja akae karibu na wewe.
3. Mwisho akikuona umekaa sehemu basi atakuja lakini hatakaa kitako hata kama kuna nafasi ya kutosha !!!!
 
Hakuna shida kwa baba kumpakata bintiye na hakuna limit ya miaka!! Hv kweli waweza Disa kwa mwanao?
 
Mtoto wa kike akifikisha miaka 3 anajua Baba ana tofauti na Mama na yeye hasa Duahelelee hivyo asipakatwe na atakapofijisha miaka 6 hadi 10 hatak ubali kupakatwa tena
 
Hii mzee ni natural phenomenon!

1. Mwanzo itakuwa akikuona tu umekaa sehemu basi nae atakuja na kuanza kuomba umpakate.
2. Itafikia hatua akikuona umekaa sehemu nae atakuja akae karibu na wewe.
3. Mwisho akikuona umekaa sehemu basi atakuja lakini hatakaa kitako hata kama kuna nafasi ya kutosha !!!!

Paulss like this
Mkuu umenyonya mawazo yangu kwa blutuzi, sina cha kuongeza
 
kuna siku atakuvujishia mchuzi mwenkundu ndio utajua kuna mwisho.

Au utahisi kabeba limkate ndo utajua kuna mwisho.

Miili ina hisia, ndo maana visa vya mtu anakula bintiye vinaongezeka ama vinasikika sana siku hizi.

Miaka 5 inatosha kabisa.

kha!! mtot wangu mwenyewe nisimpakate tena....ebu wacheni zenu bwna. as long as my daughter she can seat on daddy's lap any time...well apart from wen wife amekaa
 
Hii mzee ni natural phenomenon!

1. Mwanzo itakuwa akikuona tu umekaa sehemu basi nae atakuja na kuanza kuomba umpakate.
2. Itafikia hatua akikuona umekaa sehemu nae atakuja akae karibu na wewe.
3. Mwisho akikuona umekaa sehemu basi atakuja lakini hatakaa kitako hata kama kuna nafasi ya kutosha !!!!

Mkuu umenena vema, lkn pia kuna wakati bintiyo anaweza kuwa anaumwa mno na anatakiwa anyweshwe uji au alishwe chakula huku kapakatwa, hapa kunakuwa hamna jinsi, unapakata tu....!!
 
Back
Top Bottom