Objective ya kuwapakata hawa watu wawili haiwezi kuwa sawa hata kidogo, na huwezi kuwafananisha. Unless kama wewe ni 'fisadi'.
Ninachoona for we Africans, hasahasa watz. Haijakaa sawasawa kupakatana mpaka mtoto anakuwa mkubwa, we have our limits, na sina shaka katika kulelewa kwetu tumepitia hilo. Pindi nina umri wa miaka 6-7, na mdogo wangu wa kike 4, nilimuambia mama sitaki kuoga naye, nikamwambia nimeshakuwa mkubwa (sijui hata niliipata wapi hii) ila nishaanza kuona aibu.
The same case kwa watoto wa kike, cha muhimu ni kwamba umjengee mazingira ua cuddling and hugging mpaka atakapofikisha at least 6-8. Baada ya hapo unamweleza mipaka, maana atakuwa ameshaanza kubadilika. Otherwise si ajabu ukaona mtoto anaenda kumkalia mgeni (kusaka experience tofauti)