Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 13,506
- 21,602
Sitosahau siku nimeenda kulala Kwa Mwanamke, mida flani kama saa 7 za usiku huku nikiwa nazagamua dude heavy ghafra nasikia mlango unagongwa nikamuuliza mwenyeji wangu " vipi mbona sielew huyo nani" demu ananijibu " wewe tulia tu ataondoka mwenyewe " na kweli bwana yule mtu aligonga mlango dk 30 nzima akaondoka zake baada ya kuona kimya na mchezo ukaishia hapo demu ananiambia "wewe tomber tu usiwe na hofu " wakati huo Mimi zamani sana hisia zimekata kabisa sikulala mpaka saa 10 nikaondoka zangu na sijuwahi kulala Tena Kwa Mwanamke.Habarini za wakati huu wana JF.
Kuna baadhi ya wanaume mna hii tabia ambayo binafsi naona siyo nzuri na siyo busara kufanywa na mwanaume mwenye akili zake timamu.
Unakuta mwanamke kwasababu amekwambia anakaa mwenyewe, unataka akukaribishe kwake ilhali hakuna ulichomchangia yaani ndiyo kwanza mmejuana hata mwezi hamna, ushaanza oooh! Lini utanikaribisha kwako, natamani nipafahamu kwako.
Hata kama kakwambia yupo single acha kujipa huo ujasiri wa kwenda nyumbani kwa mwanamke ambaye humlipii kodi, na wanaume wengi wenye hii tabia wengi ni hawa wanaoishi Dar, mtakuja mvuliwe ubingwa huko, sijui mtamlaumu nani na wakati mmejipeleka wenyewe.
Unaona sasa ndiyo haya mambo mimi nayasemea hapa, pole sana mkuu hope umejifunzaSitosahau siku nimeenda kulala Kwa Mwanamke, mida flani kama saa 7 za usiku huku nikiwa nazagamua dude heavy ghafra nasikia mlango unagongwa nikamuuliza mwenyeji wangu " vipi mbona sielew huyo nani" demu ananijibu " wewe tulia tu ataondoka mwenyewe " na kweli bwana yule mtu aligonga mlango dk 30 nzima akaondoka zake baada ya kuona kimya na mchezo ukaishia hapo sikulala mpaka saa 10 nikaondoka zangu na sijuwahi kulala Tena Kwa Mwanamke.
Waifu material geresha hii, hapa ni maslahi kwa kwenda mbele!Habarini za wakati huu wana JF.
Kuna baadhi ya wanaume mna hii tabia ambayo binafsi naona siyo nzuri na siyo busara kufanywa na mwanaume mwenye akili zake timamu.
Unakuta mwanamke kwasababu amekwambia anakaa mwenyewe, unataka akukaribishe kwake ilhali hakuna ulichomchangia yaani ndiyo kwanza mmejuana hata mwezi hamna, ushaanza oooh! Lini utanikaribisha kwako, natamani nipafahamu kwako.
Hata kama kakwambia yupo single acha kujipa huo ujasiri wa kwenda nyumbani kwa mwanamke ambaye humlipii kodi, na wanaume wengi wenye hii tabia wengi ni hawa wanaoishi Dar, mtakuja mvuliwe ubingwa huko, sijui mtamlaumu nani na wakati mmejipeleka wenyewe.
Niliapa siwez kulala Kwa Mwanamke labda niwe namlipia Kodi.Unaona sasa ndiyo haya mambo mimi nayasemea hapa, pole sana mkuu hope umejifunza
Kumbe, hayaBado hujakuwa wewe, safari yako ndefu.
Unataka kusemaje hapo mkuu?Waifu material geresha hii, hapa ni maslahi kwa kwenda mbele!
ππhuyo jamaa angeingia sijui ingekuwaje dah! Ni hatari mnoNiliapa siwez kulala Kwa Mwanamke labda niwe namlipia Kodi.
Yule inaonyesha alikuwa mzamiaji tu kama Mimi maana alikuwa anagonga tu mlango hatoi sauti laiti angekuwa mlipa Kodi lazima angelazimisha kuingia huku akiita jina la Mwanamkeππhuyo jamaa angeingia sijui ingekuwaje dah! Ni hatari mno
Unataka mwanaume aliekutongoza Leo aje kwako baada ya mda gani ? waifu materialNaona hujanielewa mkuu sikatai kwa mwanaume wangu kuja kwangu ila nasemea hawa wahuni anakutongoza leo kesho keshokutwa anajifanya anataka kuja kukusalimia kwako
Baada ya miezi kadhaa tukishafahamiana vizuriUnataka mwanaume aliekutongoza Leo aje kwako baada ya mda gani ? waifu material
Hata wewe ni muhusika si huwa unaenda kwa mwanamke?Ungemtag tu mhusika kuokoa muda
ππnawaambieni ukweli jamaniwaifu material kaanza kuchamba tena
InshaAllah πAcha vijembe Olewa utoke magetoni.
πππππNakaa nyumbani Kwa mama,
Kwisha.
Duh! Huyo mwanamke alikuwa hatariYule inaonyesha alikuwa mzamiaji tu kama Mimi maana alikuwa anagonga tu mlango hatoi sauti laiti angekuwa mlipa Kodi lazima angelazimisha kuingia huku akiita jina la Mwanamke