Kwenye ranking yoyote UDSM ni ya ngapi?UDSM ndio inaongozza kwa kuzalisha vilaza
Nakubaliana kabisa tume haikuangalia uwiano wa wanafunzi na Wahadhiri na pia vifaa vya kufundushiaVyuo vikuu ilikuwa zamani, sio sasa!!
Sina connection yoyote na sisiemu wala hamna mtu ninayefahamiana au kujuana nae ambaye ni wa lumumba.Mbona wewe umekomaa Lumumba na buku saba?
Wakati niko A-level Gvt school, hatukuwa na Mwl wa Econ; tukajifariji walimu wa field wanakuja muda c mrefu. Wazee tukawa tunapiga msuli Tembo kigumu-mwanzo mwisho.wivu unakusumbua,Udsm hatupokei vilaza sasa wewe walikukata ndo maana umejaa wivu
Hiyo ni 1 out of 10Wakati niko A-level Gvt school, hatukuwa na Mwl wa Econ; tukajifariji walimu wa field wanakuja muda c mrefu. Wazee tukawa tunapiga msuli Tembo kigumu-mwanzo mwisho.
Bahati nzr wakaletwa tena wengi kila somo karibu 2, wote UDSM!! Mahudhurio class yakawa NYOMIII!! Baada ya wiki watu wakaacha kuhudhuria full bwenini. Jamaa walikuwa vilaza (weupe vichwani) ka'nini!!
Tukarudi katika msuli wetu tuliozoea na kujisomea maktaba ya Mkoa basii!! UDSM ni JINA tu ila si product zao.
mpaka unamaliza course unasoma masoma saba tu? chuo gani hicho? any way vyuo vingi bongo.semestet moja ina masomo.mangapi,mkimaliza semester mnayarudia?We kijana hebu wacha ujinga hapa, masomo mengi ni mangapi? Mbona ya lazima hayazidi 7 au haya ndo mengi?
Wakati niko A-level Gvt school, hatukuwa na Mwl wa Econ; tukajifariji walimu wa field wanakuja muda c mrefu. Wazee tukawa tunapiga msuli Tembo kigumu-mwanzo mwisho.
Bahati nzr wakaletwa tena wengi kila somo karibu 2, wote UDSM!! Mahudhurio class yakawa NYOMIII!! Baada ya wiki watu wakaacha kuhudhuria full bwenini. Jamaa walikuwa vilaza (weupe vichwani) ka'nini!!
Tukarudi katika msuli wetu tuliozoea na kujisomea maktaba ya Mkoa basii!! UDSM ni JINA tu ila si product zao.
Tafuta googleKwenye ranking yoyote UDSM ni ya ngapi?
Ukweli wapo wengi tu, make selection zinafanywa na TCUna si UDSM!!Hiyo ni 1 out of 10
UDSM ndio inaongozza kwa kuzalisha vilaza
open.ina wanachuo wengi kuliko chuo chochote hapa bongo lakini wengi wao ni wale wenye majukumu yao wanaojiendeleza.lakini fresh from school wapo wachache na kutokana kuwa na mda mzuri wa masomo wanajiongeza na vipato vya mitaani.vyuo vingine ni kama kuku wa kizungu.Naamini vyuo vichache viko vibaya ki ukweli. Kuna watu wanacomment kwa sababu ya kukataliwa. Mbona watu wanasoma open university na wanafanya yao huko kitaa. Tena open ya distance learning. Nature ya mtu na kujibidiisha ndo kuta mfanya mtu kuwa vizuri. Hapa nakumbuka wimbo wa ney sijui anaimba imba nini ila kunasehemu anadai "demu wa chuo".
Nyakati hizi imekuwa ngumu kumtofautisha mhitimu wa darasa la saba na mhitimu wa chuo kikuu....
Walimu wengi wa vyuo wanatoka udsm. Kwa hiyo na huko wanapeleka ukilaza wao sii???Kama UDSM inazalisha vilaza hivyo vyuo vingine vinazalisha nini???
Hao walimu walinikatisha tamaa kabisaa na UDSM. Nikiangalia na JK nabaki nalia kimoyomoyo tu!!Ulivyofaulu A level ulienda chuo gan??
Cha ajabu pamoja na kuwa na mambo mengi ya familia bado wanafanya vizuri kwenye soko la ajiraopen.ina wanachuo wengi kuliko chuo chochote hapa bongo lakini wengi wao ni wale wenye majukumu yao wanaojiendeleza.lakini fresh from school wapo wachache na kutokana kuwa na mda mzuri wa masomo wanajiongeza na vipato vya mitaani.vyuo vingine ni kama kuku wa kizungu.