mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 19,760
- 35,205
unajaribu kufiti in😅😅😅
Sijawahi kujaribu mimi huwa nipo ninapo fit in
Pole kwa kujaribu kalazimisha usiyoyajua 🙄🙄
unajaribu kufiti in😅😅😅
Daa. JF Tumekosa mwakilishi wetu.Pasco Mayala vipi wamemsahau ama
Naendelea kujiuliza hizi course za POLITICAL SCIENCE zinakazi gani kama tunaokoteza okoteza tu viongozi kwa kuangalia umaarufu wao!
Kwann wasibebe wasomi/malecture ama watumishi wa serikali kwa nafasi hizi Zaid ya kuwajaza WAUZA sura na wapiga picha na kushinda instagram muda wote!
Hivi jokate kweli ni wa kupelekwa Temeke!
Kweli Nicki wa pili ndo mkuu wa wilaya?
Vyeo hivi havina hadhi tena labda Sasa tuseme ni mabalazo wa kuitangaza serikali na si wakuu wa
Bange siyo nzuri kijaña! Huu ñi ushauri wa bure!Naendelea kujiuliza hizi course za POLITICAL SCIENCE zinakazi gani kama tunaokoteza okoteza tu viongozi kwa kuangalia umaarufu wao!
Kwann wasibebe wasomi/malecture ama watumishi wa serikali kwa nafasi hizi Zaid ya kuwajaza WAUZA sura na wapiga picha na kushinda instagram muda wote!
Hivi jokate kweli ni wa kupelekwa Temeke!
Kweli Nicki wa pili ndo mkuu wa wilaya?
Vyeo hivi havina hadhi tena labda Sasa tuseme ni mabalazo wa kuitangaza serikali na si wakuu wa wilaya
Chuma kikapata kutu kikafa
Wwe pendekeza,unataka nafasi ya uDC wapewe kina nani!? Tusilalamike bila ya kutoa njia mbadala, maana hata hao Wasomi wakipewa hizo teuzi,nao pia wanazinguwa muda mwingine!Nadhani kati ya vyeo ambavyo havina hadhi wala umaana ni pamoja na hii nafasi ua uDC maana ni nafasi anayopewa mtu yeyote, kuanzia mcheza ngoma mpaka lecturer.
Kija yunus
Media ya TZ imejaa mavuvuzela tu na hiyo ndiyo kazi yao ktk serikali na chamaKuanzia sasa Media za Tanzania zitakuwa zinaweka bidii katika 'Kujipendekeza' kwa Mamlaka ( Serikali ) na Kusifia ( Kupamba ) mno ili Waandishi wake 'waule' katika 'Teuzi' na wala siyo katika Kuibua Taarifa Muhimu na yenye Tija kwa Maslahi na Maendeleo ya nchi.
Maziko ya Media Tanzania yamefana.
Hapa bongo ukijua kusoma na kubandika tu we mwandishi wa habari,kazi za bongo hazihitaji professional zinahitani umbea,kujipendekeza na kusifiaKwani lini tulikuwa na media Tanzania?
Labda entertainment media sawa
Ulishaona wapi professional media wanaamka asubuhi kufanya birthday ya mtangazaji au Rais na kuvunja vipindi?
Waandishi wafuatao natabiri wataongeza kasi katika kumsifia mama ili walambe teuzi;
1. Sam Sasali
2. Maulid Kitenge
3. Gerald Hando
4. Steve Nyerere
Pale Efm atakuwa anachambua mcheleSteve Mengere ni mwandishi?
Pale Efm atakuwa anachambua mchele
Kwahiyo wanaitwaje?Tofautisha porojo kwenye MIC na uandishi wa habari, huyo Steve ni lopolopo tu kama Mpoki, Babalevo et al.
Huu u- DC hauna maana tena bali ni mataputapu tupuKuanzia sasa Media za Tanzania zitakuwa zinaweka bidii katika 'Kujipendekeza' kwa Mamlaka (Serikali) na Kusifia (Kupamba) mno ili Waandishi wake 'waule' katika 'Teuzi' na wala siyo katika Kuibua Taarifa Muhimu na yenye Tija kwa Maslahi na Maendeleo ya nchi.
Maziko ya Media Tanzania yamefana.
Yaani Kiongozi umeona hizi pongezi uzitolee kwenye huu uzi wa kuwananga waandishi?MEI 3 ya kila mwaka ni Siku ya Kimataifa ya Uhuru wa vyombo vya habari, Mimi Pascal Mayalla, kwa niaba yangu kama mwanahabari na kwa niaba ya kampuni yangu ya PPR as chombo cha habari, niwatakie wanahabari wenzangu wote, maadhimisho mema ya siku hii, huku nikidurusu, niliwahi kusema nini kuhusu uhuru wa habari Kwa media za Tanzania yetu.
Nawatakia uhuru wa habari mwema.
Paskali.
MEI 3 ya kila mwaka ni Siku ya Kimataifa ya Uhuru wa vyombo vya habari, Mimi Pascal Mayalla, kwa niaba yangu kama mwanahabari ambaye ni mwandishi wa habari huru na wa kujitegemea kwa kujitolea na kwa niaba ya kampuni yangu ya PPR as chombo huru cha habari, niwatakie wanahabari wenzangu wote, maadhimisho mema ya siku hii, huku nikidurusu, niliwahi kusema nini kuhusu uhuru wa habari kwa media zetu za Tanzania yetu.Kuanzia sasa Media za Tanzania zitakuwa zinaweka bidii katika 'Kujipendekeza' kwa Mamlaka (Serikali) na Kusifia (Kupamba) mno ili Waandishi wake 'waule' katika 'Teuzi' na wala siyo katika Kuibua Taarifa Muhimu na yenye Tija kwa Maslahi na Maendeleo ya nchi.
Maziko ya Media Tanzania yamefana.
Kuanzia sasa Media za Tanzania zitakuwa zinaweka bidii katika 'Kujipendekeza' kwa Mamlaka (Serikali) na Kusifia (Kupamba) mno ili Waandishi wake 'waule' katika 'Teuzi' na wala siyo katika Kuibua Taarifa Muhimu na yenye Tija kwa Maslahi na Maendeleo ya nchi.
Maziko ya Media Tanzania yamefana.