Baada ya Salum Hamduni wa PCCB 'kumtetea' na 'kumlinda' Paul Makonda, naomba nitume salamu za pole kwa wafuatao...

Umenikumbusha matukio machache mojawapo hili hapa lingine lilikuwa la Ridhwani kubebwa mgongoni.


1623100845118.jpeg

1. Ben Saanane pole sana huko uliko.


2. Azory Gwanda pole sana huko uliko.

3. Binti Akwilina Akwilina pole sana huko uliko.

4. Clouds tv hasa hasa Marehemu Ruge na Watangazaji wa Shilawadu akina Soudy Brown na Kwisa poleni sana.

5. Mwanamuziki Roma Mkatoliki pole sana.

6. Yusuf Mehboob Manji pole sana

7. Nape Nnauye pole sana Kukoswakoswa Kufumuliwa Ubongo wako Mubashara pale St. Peters Oysterbay.

8. Mo Dewji pole sana na zile Khanga zako mbichi zilizokupendeza pia.

9
 
Vipi aliyekuazima Simu anataka Kulala?
Halijawa GARi ,hii simu ujuavo simu zenye app ya JF nisawa na wallet/billford.kuazimana ngumu mkeo nae asijue unakitu JF najina lako LA uongo hilo ,usije lewa ukamuonyesha siunajua TALAKA zipo kwajikuyet....siunajua maandalizi kwenda job yameaza mwezangu unakaribia kurudi home nn ,ulingia shift ya 9t nn
 
Safi sana hebu ongeezeni 'Pole' zingine.
Pole watu wa Kimara Kibamba waliovunjiwa nyumba zao kwa kuhisiwa kumchagua mgombea wa CHADEMA.
Pole sana demokrasia nchi nzima kwa kuletewa viongozi viazi.
Pole sana wakulima wa korosho.
Pole sana Mrs wa aliyekwenda zake kwa kukaa na shetani karibia Maisha yako yote ya ukubwani, nadhani umepata picha kamili ya jehanam kulivyo
 
1. Ben Saanane pole sana huko uliko.....

oyaa popoma,
unamzungumzia ben saanane yupi?.

ni yule ambaye ulimletea dhihaka na ujuaji mwingi kwenye uzi wake wa tarehe 18 septemba 2016 alioandika kuhusu kutishiwa kutekwa na kuuwawa au unamzungumzia ben saanane mwingine?.

ujinga wako ulioundika kwenye uzi ule huu hapa. ningekuwa mimi ningefuta ili kutunza heshima.
Nijuavyo Wabobezi wa " Death Squads " na " Assassination " tena waliopikwa na kupikika huwa hawaandiki " upuuzi " kama huo tuliowekewa hapo kwani huifanya Kazi yao kwa uangalifu mkubwa ili kutoathiri Taasisi yoyote ile katika " mission " yao. Nimecheka sana na kugundua kuwa kuna Watu wanatafuta umaarufu wa ki " hovyo hovyo " wakidhani kuna Watanzania wa sasa ni wapuuzi kama walivyo wao.

Hivi hata akiulizwa tu Mtoto mdogo inaingia akilini kabisa Mtu au Kikundi fulani kiseme kabisa kuwa kitakushughulikia kwakuwa unaisema Serikali? Hebu tuacheni hizi " propaganda " za Kijinga Kijinga zinazolenga kuichafua Serikali na Taasisi zake.

Je na Mimi nikihisi kuwa yawezekana hili jambo limeratibiwa kiufundi kabisa kuwa itafutwe namba hata ya Mtu ambaye ni Marehemu kafariki tu ghafla kisha uandikwe ujumbe kama huo ili tu kutafuta " KIKI " kisha watimize lengo lao la kuendeleza propaganda zao nitakuwa nimekosea?

Nilikuwa siamini kama kuna Watu ambao huishi kwa kutafuta KIKI ila sasa kupitia hili la Ben Saanane nimeamini na binafsi sidhani kama kweli huo mpango upo kutokana na ufahamu wangu " kiduchu " wa hayo mambo kwa kuyasoma, kuyafuatilia na kuyasikia sehemu mbalimbali duniani naweza kudiriki kusema wazi wazi kuwa hii kitu imepangwa na nia fulani ovu dhidi ya Serikali na Taasisi zake na nitoe tu RAI kwa Police kuwa kama kweli wamefikishiwa kitu kama hiki wakifanyie uchunguzi wao wa Kitaalamu kabisa kwa mbinu na ujuzi wao na nina uhakika wanaweza wakawa wameletewa Malalamiko na Mhalifu mwenyewe.
 
Mkuu huu uzi umenikumbusha jinsi alivyokuwa anajikomba kwa Ridhwan wakati Kikwete akiwa Rais kisha wakati wa dhalimu kumchoma kwamba ni muuza unga.
Huyu mtu ni fundi wa "uchawa" ilimradi mradi wake utimie... kosa lake ni moja tu hajui kufanya hesabu za faida na hasara...
 
oyaa popoma,
unamzungumzia ben saanane yupi?.

ni yule ambaye ulimletea dhihaka na ujuaji mwingi kwenye uzi wake wa tarehe 18 septemba 2016 alioandika kuhusu kutishiwa kutekwa na kuuwawa au unamzungumzia ben saanane mwingine?.

ujinga wako ulioundika kwenye uzi ule huu hapa. ningekuwa mimi ningefuta ili kutunza heshima.
jamaa ni mnafiki uyo, Ni vile watu hawajamsoma humu.

ye na uyo Makonda hawana tofauti
 
oyaa popoma,
unamzungumzia ben saanane yupi?.

ni yule ambaye ulimletea dhihaka na ujuaji mwingi kwenye uzi wake wa tarehe 18 septemba 2016 alioandika kuhusu kutishiwa kutekwa na kuuwawa au unamzungumzia ben saanane mwingine?.

ujinga wako ulioundika kwenye uzi ule huu hapa. ningekuwa mimi ningefuta ili kutunza heshima.
Yaliyopita si Ndwele tugange yajayo tu.
 
1. Ben Saanane pole sana huko uliko.

2. Azory Gwanda pole sana huko uliko.

3. Binti Akwilina Akwilina pole sana huko uliko.

4. Clouds tv hasa hasa Marehemu Ruge na Watangazaji wa Shilawadu akina Soudy Brown na Kwisa poleni sana.

5. Mwanamuziki Roma Mkatoliki pole sana.

6. Yusuf Mehboob Manji pole sana

7. Nape Nnauye pole sana Kukoswakoswa Kufumuliwa Ubongo wako Mubashara pale St. Peters Oysterbay.

8. Mo Dewji pole sana na zile Khanga zako mbichi zilizokupendeza pia.

9. Maiti zote zilizokutwa zikielea Coco Beach, Kawe Beach na Kunduchi Beach poleni huko mliko

10. Tundu Lissu pole sana

11. Uliyekuwa Mmoja wa Walinzi wa aliyeondoka tarehe 17 Machi, 2021 ( sasa ni DSO ) Wilaya Moja ambayo Mwezi huu kuna Baridi Kali hadi inagandisha Mapumbu ( Kende za Wanaume ) pole sana kwa Kukoswakoswa Kuondoka duniani ukihusishwa kuwa Wewe ndiyo Yule Mbabe wa Twita.

12. Modestus Kipilimba ( sasa Balozi ) na Robert Msalika ( RAS ) Tabora nanyi pia Poleni sana.

13. Malaya wakubwa wa Beach Kidimbwi nanyi poleni kwa Kudai chenu hadi Leo wakati Huduma yenu mlitoa vizuri tu na Mru kusikia Utamu hadi akawa habanduki hapo.

14. Msio na Hatia yoyote ile lakini mkasingiziwa nanyi ni ' Drug Barons ' nchini Tanzania na hasa hasa Mkoani Dar es Salaam poleni sana.

15. Boss wa TSN Supermarket pole sana kwa Kulazimishwa kila Mwezi utoe Lita 3000 ( Elfu Tatu ) za bure kwa Gari ya Mtu.

16. Waandamizi wote wa TISS nanyi pia Poleni kwa zile ' Dossiers ' zenu kumhusu Mtu fulani na Matendo yake ' Hatarishi ' kwa Usalama na Ustawi wa nchi Kuchanwa na Kutupwa huku mkinyamazishwa na aliyenyamazishwa Kimoja na Israeli.

17. Poleni sana Waandishi wa Habari ( hasa hasa wa Gazeti la Tanzania ) Wewe uitwae Ibrahim Yamola ( sasa upo Mwananchi Tabata ) kama Chief Reporter kwa Misukosuko na Vitisho vya kutolewa hadi Uhai wako ulivyovipata.

18. Nawe Mtume Mwamposa pole sana kwa kila Mwezi kulazimishwa Kuchangia Tsh Milioni 10 za Maendeleo ya Mkoa wa Dar es Salaam ila ukawa unalazimishwa uiweke katika Akaunti Binafsi ya Mtu.

19. Pole sana Mzee Jaji Joseph Sinde Warioba kwa Kufanywa ' Punching Bag ' na Mtu pale Blue Pearl Ubungo mwaka nimeusahau japo baadae ulitumiwa Meseji na mpaka ukapigiwa Simu kuwa Ukaushe ( Uuchune ) na ikiwezekana umtetee kwa Nguvu zote kuwa hakukupiga.

20. Pole sana Ridhiwani Kikwete kwa Nyoka uliyemfuga Mwenyewe hatimaye alivyokuwa mkubwa akaanza ' Kukung'ata ' na Wewe pia huku akikutisha ' Kukupukutisha ' Utajiri wako na ' ukanywea ' kweli kweli japo kwa sasa ni Mtu mwenye Furaha mno sijajua ni kwanini.

Popote pale alipo Salum Hamduni ( Boss TAKUKURU ) nifikishieni GENTAMYCINE salamu zangu za dhati kabisa Kwake kwa Kauli yake ila atambue tu ya kwamba Marehemu Ruge Mutahaba alituasa kuwa tukiwa hapa duniani tuogope sana Vitu Viwili tu Mwenyezi Mungu na Teknolojia ya Mzungu.
Hivi hamjui uhusiano wa kutisha katika ya Makonda nayule mama wa ushungi? Mbona picha yao ilisambaa mitandaoni kitambo
 
Back
Top Bottom